mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Village Community BankVicoba ndio nini?
Village community Bank. Ni bank furani pale ushiromboVicoba ndio nini?
Napambana na rejesho
Tupo wengi mama ila hapo kwenye kujiua hapana kwakweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nikiwaza mi nadaiwa ila kujiua Mungu aniepushe
Vibegi vya kubeba ufukaraVicoba ndio nini?
Sasa afisa upelelezi anaandika report kwa mujibu ya anayoyasikia mitandaoni unatarajia nini?Sometimes watu huwa wanafikia kuhitimisha tu kuwa "kajiua kisa kitu fulani".
Lakini yawezekana kuna watu wananyongwa na kupewa sababu zisizo za kweli kuwa wamejinyonga.
Intelligence ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hapa Tanzania ni mbovu ila ingekuwa ni nzuri naamini kabisa haya matukio ya "kujinyonga" "kunywa sumu" n.k mengi yake ni mauaji.
Tuwe tunafanya uchunguzi kiundani tusikubali tu on the spot kuwa eti kajinyonga kisa laki tatu ya vicoba.
Nilidhan peke yangu πππNapambana na rejesho
Hahaha
Halaf ule mkopo hata skufanyia kitu
πππππyaaaniTupo wengi mama ila hapo kwenye kujiua hapana kwakweli
Achana na kudaiwa, kama ana deni kikoba hana hata hamu ya mapenzi"hivi Vikoba Vikoba hivi ni umaskini tu"
Mkeo akijiunga VICOBA umekwisha.
Ndio hivyo hamna intelijensia bongo hii. Kwanza kwa maslahi duni ya askari wetu hata mzuka wa ku solve kesi zenye utata mtu anakuwa hana anaona bora afunge jalada aende zake akalewe.Sasa afisa upelelezi anaandika report kwa mujibu ya anayoyasikia mitandaoni unatarajia nini?
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺNilidhan peke yangu πππ
Nalipa kwa maumivuπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Me mwnyw naumia hatarNalipa kwa maumivu