Mimi ni msomaji sana ai mwandishi mzuri ninaiahangaa hii kauli Yako, kwamba aimpensi hata kidogo, hii kauli hata kama humpendi mtu Fulani kwa sisi wanaume ai ya kuandika humu,vyama hivi vitapita lakiini utanzania wetu kwanza.Nitaandikaje vizuri kuhusu lissu wakati simpendi hata kidogo. Namshangaa huyo amejiunga Leo na kutumia ID ya kuelekeana na mimi. Sasa sijui amekosa Majina yake? Watu wengine wana matatizo mpaka kichwani mwao.
HahahaaHiyo ya laana ya kushangilia hicho kifo itatupata wananchi wote kwakuwa hakuna ambaye akushangilia .
wananchi wote kina nani labda wewe na vyeti feki ,majizi,mafisadi wenzio msiwaseme wananchi woteHiyo ya laana ya kushangilia hicho kifo itatupata wananchi wote kwakuwa hakuna ambaye akushangilia .
alivyokufa Magufuli huyu Tundu lisu alisema taifa limepata ahueniWakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.
Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.
Jamaa (Tundu Lissu) anawapenda watu wake, anaipenda sana nchi hii na analipenda sana taifa lake la Tanganyika...Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.
Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.
M atakaje awe raisi na spana mkononiAliyemsukuma akili hana,
Hivi anajua kuwa mtu akishapata majeraha mwili wake unakuwa spana mkononi akidondoka ni hatari sana!
Alaanike yeye na kizazi chake shetani huyo.
Mimi si fan wa Lissu ila nikiwa kama binadamu ninayejua uchungu wa majeraha ..huyo shetani Mungu atamjibu tu.
Mshsmba kweli kwa nn asiipende singida ss hatumuhitaji na hawez kuwa raisi hata watu wanakie kumiJamaa (Tundu Lissu) anawapenda watu wake, anaipenda sana nchi hii na analipenda sana taifa lake la Tanganyika...
Huyu jamaa ni mtu wa HAKI, ni mtu anayeipenda HAKI. Na kwa kuwa ni mtu anayeipenda HAKI, na Mungu Baba aliye juu mbinguni akiwa ni Mungu wa HAKI, basi hakuna shaka kuwa HAKI ita - prevail hata kama itacheleweshwa kwa makusudi...
Kwa hakika kabisa, kila mtu anayehusika katika kesi hii ya kumtesa na kumwonea mtumishi huyu wa Mungu aliye hai, atapokea hukumu yake ya HAKI kuanzia Chura Kiziwi Samia Suluhu Hassan na wote aliowaagiza kutenda uovu huu...
Hakimu Kiswaga pole sana...
Leo nimekuonea huruma mno....
Maana Tundu Lissu imebidi akuambie ukweli mchungu sana ambao kwa kweli ni ukweli mtupu ulio wazi 100%..
Kwamba;
➡Ume - collude na public prosecutors na DPP ku - abuse court processes...
➡Hiyo collusion inathibitishwa na wewe kuwakubalia kila hoja na kila wanachotaka public prosecutors hata kilicho kinyume na sheria...
➡Umeshindwa kusimamia utekelezaji wa amri (orders) ambazo unazitoa wewe mwenyewe kwa kuwaacha hawa public prosecutors hata pale ambazo hawatekelezi hizo orders zako..!!
This is totally abuse of court processes na ni kinyume cha sheria...!
Kwa mwenendo (attitude) yako hakimu Kiswaga, sasa hakuna shaka kuwa THE COURT ITSELF IS UNDER THE DOCK...!!
una akili za kijingaLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Wamuachie tu, hamna kesi hapo.Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.
Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.
Wewe ibilisi wa ccm umevuta bangi fahamu zote zimejaa moshi, chini ya ulinzi upi? Kwa kosa lipi?Umebbika kesi ya Uongo unataka Magerezaccm waendeleze Ubabe wa kijinga jinga kwa mlemavu uliyempiga Risasi nyingi ukataka kumuuaMwisho wa nini wakati mnaona kabisa hapo jamaa ni mkaidi? ilitakiwa askari ambembeleze yeye kama nani!?
Machadema akili zenu ni kama matapishi vile, ujinga ujinga tu..!!
Mwambieni aache ukaidi vinginevyo ataumia. Mtu yupo chini ya ulinzi ana-act kama yupo na nyanyaake huko kijijini??
Magerezaccm wanaishi nyumba za hovyo sana hawana makazi bora wengi huishi kwenye mabanda kama ya kukuWakitoka hapo wanarudi kuishi kwenye kota za mabati 💩💩 ndio maana watoto wao wanaishia kufa vifo vya ajabu na hawana maisha hadi wanakufa
Kama wa kawaida sana iweje kumjazia magerezaccm kibao? Ambao huishi maisha Duni sana lakini watetezi wa bungeni ni chadema siyo ibilisi wa ccm, hii magerezaccm kwa sasa imejaa Uviccm wakiovalia nguo za magerezaccm na kujidai na Asikari wa magerezaccm kumbe ni ibilis wa ccmLisu anajionaa kumbe ni mtu wa kawaida sana kama washtakiwa wengine tu😎