PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huko ndo wanaume wanapozaliwa

Mbeya tupo standby bado hawa wajinga polisccm wapo wengi kitaa

Tunaviziana wata net tu.
Uzuri maandamano hayana muda maalum wa kuisha hata usiku au kesho yanaendelea
 
Mkuu, pamoja na uchawa wako ila ndani ya nafsi unajua kbs watu wengi hawamtaki samuya...anatawala kwa mtutu wa bunduki tuu!
Watu uliwahesabu wapi?..mi nilikua naona nyomi kwenye mikutano yake ya kampeni kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…