Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

Duh nimeumia,jamaa anahoji eti inakuwaje unakosa kazi ya kufanya,huyu hajawahi kupigika,Mimi ni mwajiriwa Lakini siwezi kamwe kumdharau jobless,hawa jobless wanapitia mambo magumu sana,hata kibarua Cha kubeba zege hupati bila kujuana,ila mpuuzi mmoja anakuambia inakuwaje unakosa kazi
Kwakweli Huwa wanatushangaa kwann hatuna kazi
Bora ww unaelewa
 
Duh nimeumia,jamaa anahoji eti inakuwaje unakosa kazi ya kufanya,huyu hajawahi kupigika,Mimi ni mwajiriwa Lakini siwezi kamwe kumdharau jobless,hawa jobless wanapitia mambo magumu sana,hata kibarua Cha kubeba zege hupati bila kujuana,ila mpuuzi mmoja anakuambia inakuwaje unakosa kazi
Raia wa Bongo ni bongolala wacha wapelekeshwe ili ziwakae sawa. Nchi gani ina raia wasiojitambua namna hii?
 
Wakuu,

Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum.

Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi ya Upolisi kwa sababu ya hali ya kiafya.

Jeshi La Polisi ndo utaratibu wenu saivi ni kuuliza watu wanafanya nini vijiweni?

Soma pia: Rais Magufuli aagiza wastaafu Polisi kulipwa, asema wanaowacheleweshea haki ni wakubwa wao wanaokaa kwenye viyoyozi

Huyu mstaafu amewakosea nini mpaka mnamu-harass kiasi hiki?

Wapi imeandikwa kwenye katiba ni kosa kukaa kijiweni? Ibara ipi inamruhusu Polisi kumuuliza mstaafu kazi yake na kumuhoji kama mtuhumiwa?

Badala ya ku-deal na watekaji, wala rushwa na majizi serikalini mna-deal na wastaafu?

Kama hivi ndio mna-treat wastaafu basi we are working hard in a wrong country

Kwani jeshi unastaafu kwa miaka mingapi? Miaka 54 kwa waajiliwa wa umma unatakiwa uwe kazini!
 
Wakuu,

Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum.

Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi ya Upolisi kwa sababu ya hali ya kiafya.

Jeshi La Polisi ndo utaratibu wenu saivi ni kuuliza watu wanafanya nini vijiweni?

Soma pia: Rais Magufuli aagiza wastaafu Polisi kulipwa, asema wanaowacheleweshea haki ni wakubwa wao wanaokaa kwenye viyoyozi

Huyu mstaafu amewakosea nini mpaka mnamu-harass kiasi hiki?

Wapi imeandikwa kwenye katiba ni kosa kukaa kijiweni? Ibara ipi inamruhusu Polisi kumuuliza mstaafu kazi yake na kumuhoji kama mtuhumiwa?

Badala ya ku-deal na watekaji, wala rushwa na majizi serikalini mna-deal na wastaafu?

Kama hivi ndio mna-treat wastaafu basi we are working hard in a wrong country

Huyo anayemhoji mwenzake ni RPC mstaafu mzee Mroto, mzee wa kipigo cha Mbwakoko, alikuwa RPC Dodoma kastaafu mwaka juzi 2022.
Ko hao ni wazee wawili
 
Wakuu,

Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum.

Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi ya Upolisi kwa sababu ya hali ya kiafya.

Jeshi La Polisi ndo utaratibu wenu saivi ni kuuliza watu wanafanya nini vijiweni?

Soma pia: Rais Magufuli aagiza wastaafu Polisi kulipwa, asema wanaowacheleweshea haki ni wakubwa wao wanaokaa kwenye viyoyozi

Huyu mstaafu amewakosea nini mpaka mnamu-harass kiasi hiki?

Wapi imeandikwa kwenye katiba ni kosa kukaa kijiweni? Ibara ipi inamruhusu Polisi kumuuliza mstaafu kazi yake na kumuhoji kama mtuhumiwa?

Badala ya ku-deal na watekaji, wala rushwa na majizi serikalini mna-deal na wastaafu?

Kama hivi ndio mna-treat wastaafu basi we are working hard in a

Maisha ya nchi hii, we hope for the best but expecting the worse!!
 
Mungu alivyo na maajabu ipo siku tu atampitisha njia hiyo hiyo huyo mwenzake anayeipitia tena yake itakuwa ngumu zaidi. Mzee wa watu kajieleza vizuri kabisa jinsi anavyopambana stendi walau familia yake ipate chochote kitu lakini jamaa wapi anampiga mzee wa watu maswali ya kumdhalilisha.
Huu askari atapitiaa magumu kuzidi huyo anaemdhalilishaa yani Karma huwa hasahauu.. kanikeraa sana huyo mbwaa kisa kavaa viuniform hivyo anajiona kafikaaa mbwa kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom