Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

Huyu Pot baadae akijisikiliza anavyomuhoji mustafu mwenzie labda atamuomba samahani maana haieleweki alikuwa anahoji nini hasa 😁😁
 
we jamaa kama unakatwa. umesikiliza amesema ni kwanini alistaafu Polisi mapema? au unahara hapa. huwa una vi mada vya kisengesenge. sijui wa wapi we chalii
Akauze hata genge,aache ungese,hata kufuga kuku pia inawezekana,mapolisi wengi wakistaafu wanakuwaga kama wanerogwa,hata huyo anayemuhoji akistaafu ni hivyo hivyo
 
Mtoa mada huu ujumbe upo kwa wastaafu tu wasionekane vijiweni? Hii taswira haileti picha nzuri kwa taifa letu...wastaafu tumezoea vijiweni kufarijiwa baada ya kutapeliwa au kumaliza pension sasa kupigwa ban vijiweni nikutaka tufe mapema.
 
Akauze hata genge,aache ungese,hata kufuga kuku pia inawezekana,mapolisi wengi wakistaafu wanakuwaga kama wanerogwa,hata huyo anayemuhoji akistaafu ni hivyo hivyo
🤣 mwana unawachukia manjagu. sema usikute naye enzi zake alikua mkuda. isijekuta tunapoteza muda kumuonea huruma.
 
Mkuu baba mdogo wangu kasoma Makerere na kina Nyerere hawa siku hizi anasoma bibilia.
Alisoma mpaka kitabu kikampita
Ukimuona utasema mwendawazimu wa elimu.
Sa ingine huwa nafkiria huyu lucas mwashambwa labda ndo yule ba mdogo kichaa.
Maana akili zao zinafanana kabisa
 
hawa ndio jamii ya kina Likwenye ambao inadaiwa walikuwa wanatumiwa na Mwenyekiti wa Chadema kufanya uhalifu maeneo mbalimbali ili kuzua taharuki.
 
Huyu polisi hana nidhamu kabisa. Yani mtumishi wa umma mwenzio aliestaaf hata km siyo kwa ugonjwal hawezi kumfanyia dharau kiasi hicho. Sidhani km shule alifauli huyu. Hajui km kabla haujafa haujaumbika. Kaniharibia mood kabisa. Yani keshaambiwa ni mstaaf wa jeshi lakini bado anahoji utoporo.
 
Mstaafu si kasema yeye tu, una uhakika gani?

Huyo polisi wanamjuwa, hawajakurupuka.

Kwanza mstaafu yupi wa miaka 54?
 
Hawaelewi hali ilivyo nje ya soko la ajira.
 
Japo polisi wakiwa kazini hawana huruma na wananchi. Ila huyo kama binadamu mwingine katia huruma. Utasema baba anamuhoji kijana wake.
Huyo mwenye sare za kipolisi hana mamlaka za kumpangia mtu kazi za kufanya.

Mtu anamwambia nilistaafu kwa ugonjwa, huenda labda kazi anayoweza ni hiyo. Unamdhalilisha mtu, waandishi, wananchi ndiyo anapata bichwa. Mimi nisingemjibu, ningemkalia kimya maana siyo kazi yake.
 
Hii ya zamani mkuu.

Huyo mstaafu wacha aisome maana alipokuwa jeshini hakuwa tofauti na hawa watesi wetu wa leo
 
Amepanda nini sasa huyo mzee,miaka 54 bado sana think about kikweteMagufuli,trump,biden waliingia ikulu wakiwa na zaidi ya 55,Kamoeni usiku na mchana
Huyu mzee ni mvivu tu
Kwa hio kijana alivomhoji ni sawa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…