AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wanasemaga hua hatuoi au ni ngumu sana kuoa sababu ni kwamba unampenda sana mama yako kuliko mwanamke yoyote yuleAah wapi! Kumbuka kuna masomo na mambo mengi tu yatamtenga mbali na mama yake na atazoea! Mimi mwanaume anayempemda sana mama yake anikome sio siri! π
Rudia tena kuangalia,huoni dogo anashambulia kutokea nyuma?Nadhani dogo angeshika tako la mama yake ndipo mama angetambua mazoea yalikofikia si pazuri
Akifa unakufa naye? Ni tabia mbaya hii!! Ndio yale unakuta mpaka kashakuwa kuwa mtu mzima lakini bado analala na mama yake kitanda kimoja, au maamuzi ya familia yanafanywa na mama yake duhh!Wanasemaga hua hatuoi au ni ngumu sana kuoa sababu ni kwamba unampenda sana mama yako kuliko mwanamke yoyote yule
Mapokeo yanatupelekesha sana bado huku tena kuna AI inafafanua kila kitu basi kizazi kijacho hata kukudhibiti itakuwa shida sana, ni kumwomba sana Mungu tuvuke salama ktk maisha haya ya sasa.Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150
Duh na me maza angu asipokupitisha hakuna future, Sina mazoea ya kijinga kama huyo janja ila mom is my soul. Nakutakia upatwaji mwema wa mwanaume hardcore kwa maza akeAah wapi! Kumbuka kuna masomo na mambo mengi tu yatamtenga mbali na mama yake na atazoea! Mimi mwanaume anayempemda sana mama yake anikome sio siri! π
Mama yako ananipitisha wakati we ndio unanijua? Aah wee!, saingine mama anataka uendelee kubaki single ili umuone yeye tu. We unahisi anakuepushia jambo baya..Duh na me maza angu asipokupitisha hakuna future, Sina mazoea ya kijinga kama huyo janja ila mom is my soul. Nakutakia upatwaji mwema wa mwanaume hardcore kwa maza ake
Hio ya kulala haipo labda mtoto wa kike na Baba yake hata akiwa limama akilala na Baba yake hakuna shida sio wa kiume kulala na mama yake na kashakua libaba atakua na matatizo ya ubongoAkifa unakufa naye? Ni tabia mbaya hii!! Ndio yale unakuta mpaka kashakuwa kuwa mtu mzima lakini bado analala na mama yake kitanda kimoja, au maamuzi ya familia yanafanywa na mama yake duhh!
Km uliwahi kusaidia kumfuta mavi alipokua anajinyeaHuko Dar naona kama mnalega lega kwenye malezi,leteni huyo dogo likizo aje mkoani huku tumuweke sawa.
Ila kwanini walale na wazazi wao jamani! Duh sijawahi tangu kuzaliwa..ππΎHio ya kulala haipo labda mtoto wa kike na Baba yake hata akiwa limama akilala na Baba yake hakuna shida sio wa kiume kulala na mama yake na kashakua libaba atakua na matatizo ya ubongo
Kwa hiyo kama alimfuta ndio amlee ki ndezi ndezi?Km uliwahi kusaidia kumfuta mavi alipokua anajinyea
Namaanisha kwanza mpaka napata ujasiri kukutambulisha kwa maza umepitia vetting ya maana, Kisha katika uchumba lazima nikuache hata siku 2 3 kwake nione mnavo vibe kama ni binti mwema ata yeye atatia 5 stars, naanza kukupitisha mimi yeye final tu kama badge of honor. Hii ni kwa serious relationship lakin sio shika chinja.Mama yako ananipitisha wakati we ndio unanijua? Aah wee!, saingine mama anataka uendelee kubaki single ili umuone yeye tu. We unahisi anakuepushia jambo baya..
Duh,Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150
Yani hizo siku 2 3 mbona naigiza frshy tu! Yaani mama nikusaidie hiki haziishi! Saa 11 alfajiri naamka kudeki, nafua nguo za mamkwee, nasafisha nyumba, nampikia chai, akiamka malaika si huyu hapa! Mamaako siachi doa ukweniπNamaanisha kwanza mpaka napata ujasiri kukutambulisha kwa maza umepitia vetting ya maana, Kisha katika uchumba lazima nikuache hata siku 2 3 kwake nione mnavo vibe kama ni binti mwema ata yeye atatia 5 stars, naanza kukupitisha mimi yeye final tu kama badge of honor. Hii ni kwa serious relationship lakin sio shika chinja.
Hapana, wala hata huyo mtoto kwa kumtazama hayuko sawa, na zaidi anaelekea kuharibika, km una jicho pevu lakini.Mwanaume hajitambui, soon wataanza kushare na mtoto
We nani kakwambia huyo ni single mother? Malezi hayanaga komando wewe!!Usikubali mtoto wake kulelewa na single mother
Serious dogo wasipomuwah messi anaiacha argentina mapemaHapana, wala hata huyo mtoto kwa kumtazama hayuko sawa, na zaidi anaelekea kuharibika, km una jicho pevu lakini.
Ushindwee na ulegee! we kichwa kibovu sana wewe me sikuwezi π ukioa dem kakuzidi ujanja nayo ni high risk π€£ Dem Lina makoneksheni ya kazi kama yotee! utaomba pooYani hizo siku 2 3 mbona naigiza frshy tu! Yaani mama nikusaidie hiki haziishi! Saa 11 alfajiri naamka kudeki, nafua nguo za mamkwee, nasafisha nyumba, nampikia chai, akiamka malaika si huyu hapa! Mamaako siachi doa ukweniπ
Nikitoka hapo ni humu tu π ππ½