VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

Kitu kidogo icho ao watoto mie sio target yangu wakinishindwa nitawatelekeza nitaondoka na mama yao
Tena hilo vulana unaona linamhug na kumchumu kabisa, kisha ma'mtu linamtia nyege na kuishia kucheka cheko la kupandisha hisia!

Oa oa ya mno, siku moja utakuja kuadopt na mume mwenza, shauri yako mkuu!
 
Mimi nimehoji ni sahihi mtoto kuwa na mazoea ya kiasi hiko na mama yake?

Nisipepese macho, binafsi naona ni malezi mabovu sana...
Mtoto anambusu mama yake shingoni kweli? Mama anamwambia am your first girlfriend...

Hayo si malezi, kuna kuwa na mapenzi na mtoto lakini kuna mstari mwekundu usivukwe...

Sio kweli wanaopinga wametoka familia ambazo ukishika hata kikombe ni kipigo...
Wazazi wangu wamenifulia nguo hadi nafika sekondari, nikiwa shule si baba wala mama wakikuta nina nguo chafu mmoja wapo atafua... unaweza ku imagine ukaribu tuliokuwa nao , upendo na heshima...

Nilikuwa na utani na baba na mama, hasa story za mpira n.k... sio kweli kama unavyosema...
 
Inaonekana wanamazoea zaidi ya hapo.
Muache Dogo azagamue. Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine.
Kwa wanyama sio tatizo mtoto na mama au Baba na mtoto kufanya ngono.

Ila kwa watu ni tatizo
 
Sawa, ila siwezi kujudge video moja tu hiyo huwezi jua maisha mengine yakoje nyuma ya camera!
 
Wewe utakuwa unalea kama huyu dada wa Kikenya.

Kuna mama Mmoja (nurse) ni mstafu daaah alimlea mtoto wake wa kiume malezi ya Ajab sana.

Imagine, mwanaume wa miaka 37 bado anaishi kwa Mama yake, akiamka asubuhi ni pombe tu, mwanaume miaka 37 unanuniliwa maziwa.

Wadada waleeni watoto vizuri, ili baadae wawe msaada kwenye Jamii na kwa Familia.

Mtoto wa kiume anadekezwa kama mtoto wa kike.

Hii ishu usukumani haipo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…