Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

mental health is real.....kule Facebook kuna wagonjwa wengi wa akili....ukitaka kulifahamu hilo nenda Facebook tafuta group la vyakula vya kitanzania....nafikili hata admins wao ni wagonjwa ila suala la muda tu....
Sasa ww ulifata nini km na wewe sio mgonjwa 🤣🤣🤣
 
Sasa anaemchunga ndo anakaa dirishani na mchungwa yupo huru kabisa.
 
Mzungu unaemuamini hashindwi kitu..hilo haliwezi kumbe??
Ungeelewa namaanisha nini usingekuwa unaleta ubishi usiokuwa na mantiki yoyote.Samahani unapenda kubishana au kuelekezana?

Kama unataka kujifunza, hii itakusaidia.

The Renaissance: Home​

What was the Renaissance?

The Renaissance was a fervent period of European cultural, artistic, political and economic “rebirth” following the Middle Ages. Generally described as taking place from the 14th century to the 17th century.

Some of the greatest thinkers, authors, statesmen, scientists and artists in human history thrived during this era, while global exploration opened up new lands and cultures to European commerce.

During the 14th century, a cultural movement called humanism began to gain momentum in Italy. Among its many principles.

Humanism promoted the idea that man was the center of his own universe, and people should embrace human achievements in education, classical arts, literature and science.

mental health is real.....kule Facebook kuna wagonjwa wengi wa akili....ukitaka kulifahamu hilo nenda Facebook tafuta group la vyakula vya kitanzania....nafikili hata admins wao ni wagonjwa ila suala la muda tu....
Eti wanakaanga maharage
 
Mwamba alikuwa na chupa huenda kuna kilevi alikuwa anakunywa hata miondoko yake aliponyanyuka alikuwa anayumba.

Wanasema alikuwa ana matatizo ya akili. Tatizo la afya ya akili ni janga kubwa lililojificha kwenye jamii
 
mental health is real.....kule Facebook kuna wagonjwa wengi wa akili....ukitaka kulifahamu hilo nenda Facebook tafuta group la vyakula vya kitanzania....nafikili hata admins wao ni wagonjwa ila suala la muda tu....
kwann mkuu?
 
Seek medical help ASAP, mental health is real dude🔨
 
Ninajua mambo 2 kwa hakika:

- Wakati anazama kabla ya kufa kuna point alijuta.

- Huko alipo mda huu anajuta kujitumbukiza mtoni!

Maisha duniani hata kama ni magumu kiasi gani, usijiue / usijitoe uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…