Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Hatujadili kuamini kwako bali tunataka maana aliyokuwa anamaanisha aliyetoa kauli.
 
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Eti hawa wapumbavu ndio TISS onawaunga mkono kwa hali na mali!? Idara hii imeharibika sana sanaaaa!
 
Ona sasa , mshahamia TISS. Kwa nini mnapenda kuchanganya mambo? TISS imekujaje sasa hapa.
Wavurugaji mnayaweza haswa. Na matusi juu
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.

Dah ,muogope Mungu wako unapo tetea Uovu.
 
Hatujadili kuamini kwako bali tunataka maana waliyokuwa wanamaanisha aliyetoa kauli.
Ili ujue maana lazima uangalie maneno.

Maneno ndo yale kila mtu ana tafsiri yake,wasiokuwa upande wake wanatafsiri kivyake wengine wanasema vingine.

Sio kutetea uovu.

Kwanza mtoa mada amuogope Mungu kwa kumuongezea huyo mama neno ambalo hajalisema.

Kumzushia muovu pia ni uovu,kumsingizia mmbea maneno ambayo hajayasema pia ni uovu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…