Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Wapate haki gani zaidi ya kuwekwa huru dhidi ya Tawala ya kikandamizi ya magaidi wa Hamas wanaohatarisha na kugharimu maisha ya wapalestina wasio na hatia ? Haiingii akilini mtu anaetetea wapalestina anafyatulia makombora sehemu zenye misikiti ama makazi ya watu.

Hamas inabidi wachochewe kuni haswa,
Wewe endelea tu kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili utapona ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Kwasababu wanapenda kufakufa. Halafu hatujapendezwa na kuridhika idadi ya vifo 8000 Gaza. Kwa hili kusema kweli Israel imetuangusha sana. Ilitakiwa idadi ya vifo Gaza sasa hivi icheze laki na ushee huko. Israel ijitafakari
Wewe endelea tu kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili utapona Inshallah pole sana
 
Angalia hili choko la Machame[emoji23] Mabasha zako wanashindwa kuingia Gaza wiki ya 3 walitoa masaa 24 ngoma ngumu hahaha eti Hamas wamejicha hospitali hapo hospitali si wanauwa watoto na wanawake labda nikuulize wewe shoga la Rombo umeishawai kuona maiti za Hamas?
On a serious note,Unaamini Hamas wanaweza kwenda head to head na Israel bila kutegemea human shield na kutafuta sympathy?Usipofushwe na dini yako.Hebu reason kidogo mzee!
 
Haya maandiko! sijui mungu gani mbaguzi namna hiyo
Kuna tafauti ya kusema adui yako hata ufanye naye urafiki wa kila aina umsaidie, umuelimishe hili zuri hili baya hawezi kuwa radhi na wewe mpaa ufanye anayo taka yeye ndio kakusudia Mungu wa Qur'an yani Myahudi na Mkristo hawawezi kupenda wewe Muislam mpaa ufate wanayo taka hao wakristo mfano uwe mzinifu, mlevi, jambazi,mpenda rushwa yani hayo ndio wanayo yataka.

Tofauti na mungu wa bibilia yeye kafa kwa ajili yenu fanyeni zina, kuleni rushwa, uweni, dhulumu, wewe fanya kila ushenzi yeye kisha chukua dhambi zako 😄 Afu ana taifa teule la kishoga yeye tofauti na Mungu wetu aliwangamiza mashoga nyie mungu wenu anawatunza mashoga kwenye taifa teule lenu.
 
On a serious note,Unaamini Hamas wanaweza kwenda head to head na Israel bila kutegemea human shield na kutafuta sympathy?Usipofushwe na dini yako.Hebu reason kidogo mzee!
Usiwe punguani wewe Israel bila msaada wa Marekani na Ulaya hamna kitu zaidi ya miaka 50 wanakandamizwa lakini wanapamba hata iwe vipi Israeel hawezi kuwamaliza Wapelestina nyie mashoga lazima muwatete wenzenu kwa njia yoyote ile Hamas na Wapestina wote wataendelea kupambana mpaka wapate ardhi yao.
 
Kama unaweza kumshinda adui yako kwa kumpiga jiwe ukiwa mbali kuna haja gani ya kwenda kukabana nae mashati? David alimwua goliath kwa jiwe moja tu na akaenda kukata kichwa chake. Ndicho wanafanya israel
Ndege zimeanza kuangushwa we lala tu, mtakuja kuomba wenyewe vita isimamishwe 😄
 
True. No cease fire until they finish all terrorists and their supporters including Iran
Do you think terrorism will end easily in this world?, can't because terrorism is in blood and terrorists are still born

Terrorism will end only if bullying doing by USA and his allies stops

Terrorism is a condition of people's missing their rights on normal setting systems, they choose other ways to find their rights
 
Elfu 8 kwa watu million 2 wa Gaza is nothing!! Kama unadhani umewakomoa kwa mwaka tu wanazaliwa watoto zaidi ya elfu 50 huko Gaza!!
Ndo maana nikasema Israel hawajatutendea haki kwa iyo idadi ya vifo 8000. Hadi sasa hivi ilitakiwa icheze laki na ushee huko. Israel kwa hili ijitafakari hatujapendezwa kwa kweli.
 
True. No cease fire until they finish all terrorists and their supporters including Iran
Exactly, cease fire ya nini wakati magaidi wamegoma kuachilia mateka UNCONDITIONALLY sasa watoto wa Yakobo wameamua kuwafuata watu wao handaki kwa handaki mbona kobazi zitawavuka.
 
Exactly, cease fire ya nini wakati magaidi wamegoma kuachilia mateka UNCONDITIONALLY sasa watoto wa Yakobo wameamua kuwafuata watu wao handaki kwa handaki mbona kobazi zitawavuka.
Sasa mbona kila siku wakiingia kuwafuata wana pigwa wanarudishwa nyuma kwenye hayo mahandaki wataingia lini?
 
Sasa mbona kila siku wakiingia kuwafuata wana pigwa wanarudishwa nyuma kwenye hayo mahandaki wataingia lini?
Mwanajeshi wa kiyahudi hana tofauti na mwanajeshi wa kimarekani. Wakienda vitani wanataka warudi wawe hai.

Ukiwa na wanajeshi wa namna hii ni changamoto. Nakumbuka Malcom X alisema ushujaa wa mwanajeshi wa mtu mweupe(akimaanisha Marekani) ni akiwa kwenye ndege, akiwa kwenye kifaru, akiwa kwenye kufyatua kitufe cha kurusha kombora, ndipo ushujaa wake ulipobakia. Ila vita vya ardhini haviwezi.

Mfano huu unaenda sawa na jeshi la Israel. Ushujaa wa jeshi lake ni akiwa kwenye ndege, akiwa kwenye kifaru, akiwa kupambana na yule ambaye hawezi kujihami. Mbali na hapo hawezi kupambana. Mfano vita yake na Hizbullah 2006 Israel ilishindwa mapigano ya ardhini.

Na hii changamoto nilidhani imeshatatuliwa lakini bado anayo!
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Wanaficha kutangaza hizo habari.
Pilot yule kafaa midamu kifua choote, lakini wamefanya kosa wa Palestine kumpiga kwa miguu mtu kisha kufa hi ni against Uislam kabisa.

Najua watu wana jazba sababu hao mapilot wameuwa dada zao na mama zao au wake zao au baba zao, lakini lazima tuwe mfano mzuri kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom