Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

lissu anatumia nguvu nyingi sana kumshambulia binafsi Magufuli
Magufuli yupo mioyoni mwetu,hata ufanyaje tutampa kura
Tunataka lissu atueleze atafanya nini kutuondoa hapa tulipo kutupeleka juu kimaisha,aache janja janja
 
chadema bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , sipati picha mbinguni watakavosumbua, kwann Mungu alianza kuumba ardhi, mwanga, maji badala ya matunda na bata., ukitaka waelewa hawa jamaa lazima uvute bangi kwanza
Ueleweki
Unajitahidi kumtetea huyo jamaa yenu Ila unazidi kupuyanga tu
 
Duuu Mimi ni msukuma nilitaka nimpigi kura magu msukuma mwenzangu kumbe na lenyewe ni lijizi(linyoli) nimebadili maamuzi siwez kuchagua mwizi mm,ntampigia Hashim wa ubwabwa tu
 


Tupo pamoja na mapungufu yote haya tunayoyaongelea tatizo ni KATIBA YETU ILIYOPITWA NA WAKATI
 
Hii ranch ipo toka enzi na enzi: maskin wa mawazo anafikiri kukosa kwake ni kwasababu tajiri kapata
 
Maneno ya kijiweni ndiyo hulka ya Lisu na wafuasi wake.

Huu ni uongo mwingine kama ule wa kusema CCM iliharibu reli ya Mpanda....
 
Kama nitampa LIssu kURA yangu ni kwa sababu ya HII kauli hapa.
 
Mr Much know aeleze sera sio majungu majungu au pumzi imekata?
 
Mkuu wizi wa sumaye haujastify wizi wa magufuli
Kwa kifupi mpo tayari kuishi na mwizi yoyote ili mradi aunge mkono Chadema, hamna shida na wezi mnashida wana support CCM... maamuzi ya 2015 yatawagharimu sana mliwasafisha wenyewe saivi mnawavaa tena, mnakosa kuaminika mbele ya wapiga kura
 
lissu anatumia nguvu nyingi sana kumshambulia binafsi Magufuli
Magufuli yupo mioyoni mwetu,hata ufanyaje tutampa kura
Tunataka lissu atueleze atafanya nini kutuondoa hapa tulipo kutupeleka juu kimaisha,aache janja janja
Magufuli ni fisadi. Fisadi lazima apingwe na kila mtu. Hata wewe anza sasa kumpinga fisadi Magufuli. Sema Ameen
 
Vitambulisho vya Wamachinga kavitolea ufafanuzi
Uwanja wa ndege kajibu hoja
Na hili la Heka 25,000 alijibu basi, rais wa Wanyonge πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…