Makonda na Lisu nani anafatiliwa na wananchi kuzidi Mwingine?
Kujua sheria sio issue!
Huyo tutawapa wakati wa kulishwa asali tuu ila mambo mengine tunawapa size yenu makonda na sabaya
Lissu mwenyewe anashikwashikwa na mabwana wake wa kizungu huko Uberigiji au tuanze kufukunyua nyuzi humu akiwa na mwenyekiti wa mashoga duniani,bora Makonda aliisha wai piga marufuku hao mashoga akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, lakini Lissu hata bungeni wakati wanatunga sheria za kubana mashoga Lissu alikuwa anapinga eti wanaingilia uhuru wa faraga za watu, upuuzi mtupu.
Sasa makelele ya nini! mwambieni Mbowe na Lisu wenu wajitokeze mbele ya Makonda kwenye mdahalo, mambo ya eshima peleka kwa mumeo,kama mnamwogopa semeni, Sio kubwekabweka kama mbwa koko.
Mbona unaandika kama unasukumiwa kitu!.... Mwambie huyo anaekusukumia apunguze kasi! Wee shosti!... Bahati mbaya huo mlango siutumii!...Sasa makelele ya nini! mwambieni Mbowe na Lisu wenu wajitokeze mbele ya Makonda kwenye mdahalo, mambo ya eshima peleka kwa mumeo,kama mnamwogopa semeni, Sio kubwekabweka kama mbwa koko.
Mdahalo utahusu siasa au mnataka mzungumzie mpira.?Mdahalo wa Nini? Mada kuhusu Nini?. Mtu kaona kasahaulika anataka kutumia jina la CHADEMA. Aende akawapigie simu mawaziri wa CCM . Mjinga mmoja hivi.
Mara nyingine kunyamaza ni jibu la kuficha ujinga. Makonda ana ubavu gani wa kufanya mdahalo ama na Lisu, Mbowe au Mnyika? Ni bahati mbaya sana jamaa ni mtu wa kiki na matukio lakini kichwani ni mweupe.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Hivi anaitwa Makonda au Bashite ?
Huyo mhalifu alitakiwa awe gerezani Kwa ugaidi alioufanya kipindi cha mwendazake
Huyu kamaanisha hivi "niache nisije nikakupíga"kidogo nilikaa usukumani Takribani mwaka mmj 2014/2015Naandika vyovyote navyotaka!
Nilekage. Ize nagutule ubhebhe.
Kwani kwa miaka mingi chadema si wamekua wakisema eti ccm inaogopa midahalo ya wazi,haya sasa mtu huyo kapatikana pelekeni watu wenu mkabishane kwa hoja,nyie si mnajiona mna hoja nzitoCcm imegeuka kituko cha dunia, kwamba mtu sahii wa kujibu hoja ngum ambazo wametoa chadema pitia mwenyekiti wao ni uyu Makonda hii chama imekufa kifo kibaya sana
Chochote watakachokitaka ye yuko tayari,jeshi la mtu mmoja.wao si walisema ccm inaogopa midahalo haya sasa mtu kapatikanamimi sio mshabiki wa Makonda wala Lissu, kifupi wote tu siwakubali.
Ila najiuliza, Makonda anataka mdahalo na Lissu kuhusu nini?
Nenda kabishane nae kwa hoja we si una ushahidi ili watanzania tuusikieNaisikitikia sana nchi yangu Tanzania watu wa ovyo na wenye makandokando na tuhuma mbaya ndiyo wanapewa madaraka!
Hata na wewe ni mjinga na mpuuzi ila Bashite hawezi kuchomoa hata na kwako tuuKubali basi mdahalo unaogopa nini?