Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Wwe Gimbi kweli huna ulijuwalo kuhusu Wafanyabiashara Wanyonyaji wanao shirikiana na baadhi ya Viongozi walioko madarakani kupiga ma deal machafu!! Hili la Makonda na GSM ni aina flani ya Karma! Muda utatuambia ukweli wote!!
Kwahiyo hutaki adaiwe? Ikiwa mwizi wa kuku tu anafungwa miaka 5, yeye ni nani asikumbwe na hilo rungu? Karibu tujadili kijana wa mwendazake.
 
MAGUFULI ALIKUWA UNTOUCHABLE LEO HAYUPO HATA HUYO UNTOUCHABLE SOON ANAISHA
Kwani Mama siyo untouchable!? Nenda kamuulize Mugabe aliyetoka juzi Lupango atakupa mziki wa Mama ukoje!!!
 
Ile ford ranger alimdhulumu tajiri mwarabu wa kampuni ya NAS baada ya kumsingizia madawa ya kulevya. Ili achomoke kwenye kesi akamdhulumu ford ranger.
Mbona wwe Makonda hajakusingizia kua unauuza madawa ya kulevya!? "If you don't know the rules don't play the game'!!! Hayo Maneno alikuwa anapenda sana Marehemu Dingi yangu kuniambia! nilipokua mdogo sikumuelewa,hadi nilipokua Mkubwa na kuanza ku play the game ndiyo nikaanza kumuelewa! Na masikini wakati naanza kuelewa Maneno ya Dingi na yeye ndiyo Umauti ukamnyemelea na kumchukuwa!!
 
Mengi yatafunguka, bado matajiri wengi aliowadhulumu wanamvutia pumzi tu.


Sidhani kama kuna cha kumlinda safari hii. Unafikiri, walivyodhalilishwa matajiri na wanasiasa na huyo jamaa watamsamehe? Kwanza wanahakikisha anakauka kifedha kidogo kidogo na anapoteza mali zake kidogo kidogo. Sasa hivi ni kama manyunyu tu, ngoja masika ichanganye, tutamhurumia.

Tukisikia nyumba alizojenga Mwanza na kwengineko zinanunuliwa au zinapigwa mnada muda si mrefu sana kuanzia sasa tusishangae.
 
Makonda kwa mshahara gani wa serikali wa milioni 4 ajenge ghorofa ya Bilioni 2? Yeye aendelee na kesi zake mahakamani aachane na mali za watu
Na huyo GSM umesha jiiuliza kwa nini wampe Mkuu wa Mkoa wa DSM zawadi yenye thamani kubwa Kama hiyo!? What do they wanted in return kutoka kwa Mkuu,ambacho hawajakipata au hajakitimiza na wakaamuwa wamdai Mali yao waliompaa!?
 
Samia Suluhu aache kulinda heshima yake amlinde Makonda? Usisikie majuha wakipayuka hovyo.

Usikute hata mama alimkomalia wakati wa bwana yule.
 
Hahah!

Yaani Kondaboy ndio wa kuongea kinyonge hivyo, tena analalamika mithili ya wale watoto wanaolia "mwalimu usinichapeeeee, sijaiba penseli mimiiiiiiiii....iiiii"
 
Labda alikuwa na mshahara mahalum kama wa TZS 50 mil. kwa mwezi!
 
Kiongozi wa umma huwezi kuwa mshirika wa wezi, tena huyu alikuwa anatamka hadharani kwamba yeye anaongoza kwa kula raha kumbe jizi tuuu pumbavu zake
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Anayenyooshewa kidole siyo mtu mweusi Bali jiziii...
 
Funguka zaidi Dada Kama kuna kitu wakijiua, Maana wwe nakujua ni wa Kariakoo Kama akina GSM!!
Kiukweli kuhusu hizo video clips, sifahamu kitu, ndio kwanza naziona hapa. Tumngoje Kimambe ndiye mwenye sources za udaku.
 
Makonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Unaona sasa, waanzishe madai fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…