Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Kwahiyo hutaki adaiwe? Ikiwa mwizi wa kuku tu anafungwa miaka 5, yeye ni nani asikumbwe na hilo rungu? Karibu tujadili kijana wa mwendazake.Wwe Gimbi kweli huna ulijuwalo kuhusu Wafanyabiashara Wanyonyaji wanao shirikiana na baadhi ya Viongozi walioko madarakani kupiga ma deal machafu!! Hili la Makonda na GSM ni aina flani ya Karma! Muda utatuambia ukweli wote!!