Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

duu ndio misemo gani hiyo?
 
Kipi bora kati ya wazungu au waarabu unaowachukia lakini hawakuui wala kukuteka. Sanasana wanatumia ujanja wao kutengeneza fedha wakati wewe hujui namna ya kutengeneza fedha.

Halafu kuna Mwafrika mwenzio anakuteka, anakuua, ananyang'anya Mali zako kama walivyofanya akina Ole Sabaya na Makonda chini ya uangalizi wa Magufuli?

Kumbuka samurai kuwa unyama hauna rangi ni unyama tu. Ondokana na mawazo ya kibaguzi. Hakuna mtu anakuunga mkono humu
 
PCCB wachunguze mali zake na vyanzo vya pesa katika kupata mali hizo kama vilikuwa vya halali, e.g namna alivyo jenga nyumba hiyo.
 
Kuna mbunge aliwahi kulalamika juu ya utajiri wake wa haraka mwanzoni kabisa mwa ukuu wake wa mkoa sikumbuki alikuwa nani, leo ndiyo naelewa kumbe alishuhudia mambo mengi
 
Makonda sio sawa na wewe, mimi au yule.
Sawa nakubaliana na hoja yako mkuu lakini:-

1. Basi watu wakienda kuchukuwa mali zao kama alivyofanya GSM kwa kutumia nguvu atulie dawa imuingie asipige kelele kwani hata yeye
alipopora hizo mali wakati huo wenzake walikuwa kimya wakililia rohoni hata hatukujua kama wameporwa.
2. Tutangaziwe rasmi kuwa nchi hii ina jumla ya watu milioni 59 na Makonda mmoja kama ilivyokuwa utani wa zamani kuwa basi lina abiria 59 na
mmakonde/mmasai mmoja

Yakifanyika hayo mawili nafikiri kila mtu atafanya shughuli zake na hata huku JF hakutakuwa na nyuzi zinazomhusu Makonda.
 
Nenda ukamshaki sasa kama una ushahidi, ila hatuwezi kushangilia viongozi wa umma wakipora Mali kwa kutumia vyeo vyao.
 
Siku zote ufahamu binadamu wanatofautiana wapo wenye roho mbaya na wapo wenye roho nzuri! Hivyo kama umeexprerience hayo madhila kwa huyo MTU usichukulie kuwa watu wote wenye asili hiyo wako hivyo !! Nadhani wewe umechukulia ule msemo usemao samaki mmoja akioza, wameoza wote ! Sorry huo msemo haumake sense unapowajadili binadamu !!
 
Hii imesababisha malori mengi ya Tz yasajiliwe Zambia, udikteta umefukuza wawekezaji wengi sana awamu iliyopita
Yaani moto uliokuwa wanapelekewa wamiliki wa malori ulikuwa sio wa kitoto..
Wafanyabiashara wengi hasa wa juu cha moto walikipata..
Hili la GSM haliwekwi wazi.. Lakini inaonyesha alichezea kitisho na kuambiwa ni maagizo kutoka juu.. Jenga nyumba fullstop
 
Nenda ukamshaki sasa kama una ushahidi, ila hatuwezi kushangilia viongozi wa umma wakipora Mali kwa kutumia vyeo vyao.

Mkuu ni hivyohivyo hata kwa hao viongozi wa umma unaowasema unaweza kwenda mahakamani pia...

GSM aka Ghalib anashindwaje kwenda mahakamani pia?...

Tuache pia kushabikia matajiri wanaowatumia viongozi wa umma ili kufanikisha utajiri na ujinga wao kwa kuwaibia na kuwanyonya watanzania..
Tuache pia kuwashabikia wamanga na weupe wengine wanaojifanya watanzania ili kupata favor za uzawa kwenye biashara zao huku gizani wakiwa sio watanzania na mwisho wa siku wanatumia mwanya huo kuwanyonya watanzania...
 
Guys mark hii makonda atainuka tena na sijui wataficha wapi sura zao naona ya magu kwa manji
Sasa akiinuka wao inawahusu nini?watu wanadai chao alichowadhulumu,Yeye ainuke au asiinuke arudishe za watu mali za watu alizopora.

Na hapo bado aliowadhulumu uhai,damu zao zitamdai tu ili alipie,hakuna pa kukimbilia.
 

Chief wengi wao wako hivyo, pia wana mpaka vilinge vyao vya kupanga hujuma zao japo wanaziendesha kitaalam saana... jipe muda kuchunguza hili utapata ukweli... mtaniattack sana lakini fanyeni uchunguzi mtalijua tu hili..

Wengi wao walimchukia sana JPM maana alilijua hili na kudeal nalo, walitumia nguvu sana kuyumbisha uchumi during that crackdown na walifanikiwa maaan wameshika uchumi na wanatumia weusi wenzetu kuhujumu wenzao..
 
Makonda asome alama za nyakati,kama ni mtu mjanja bora tu asepe fasta,maana inaonekana maswahiba wa jiwe wanasakwa vibaya sana,hata sabaya mambo yalianza hivihivi...halafu na kitu chengine hawa GSM hii ni serikali yao kwa sasa
 
Majority kuwa weusi haimaanishi minority hawana haki sawa ...Nchi ni ya raia wote pasipo kubagua rangi ya ngozi

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]

Hao minority weupe wanapaswa kuwaheshimu hao majority weusi kama wanavyoheshimiwa.. Hao minority weupe wanapaswa kuwa waaminifu kwenye ardhi wanayoiita ni kwao na kwa jamii inayoishi kwenye ardhi hiyo..

Lakini wanapokuwa wanafiki kwa kujifanya wanaheshimu weusi mchana huku usiku sio hivyo haikubaliki, kujifanya waaminifu mwangani huku gizani wakihujumu HAPANA.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…