Unajuaje labda ni kipato cha mkewe au urithi?... Pengine kabla ya kuingia kwenye uongozi huenda alikuwa na miradi yake.....EEh na mali ya zaidi ya billion 2 (kwa jumba moja tu) kwa muda mchache alioajiriwa ni akiba kutoka mshahara wake, au siyo?
Hili limeshajibiwa. Hati inaweza kuchezewa na wajanja ukaambulia patupu.Nani ni mmiliki wa kiwanja?. Kama ni Makonda ndiye mmiliki wa kiwanja imekula kwao.
Atajijua daadreki!!Gari na mali za kuazima hazisitiri.
Sasa Makonda anavuliwa nduo mchana kweupeee!
Watu wakiweka Mali za Ridhiwani si tutakimbiana hapa.EEh na mali ya zaidi ya billion 2 (kwa jumba moja tu) kwa muda mchache alioajiriwa ni akiba kutoka mshahara wake, au siyo?
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.Alifoji angalia zile document minimeziona alifoji sio genuine
AcuraView attachment 2146873
Makonda enzi zake.
Gari na mali za kuazima hazisitiri.
Sasa Makonda anavuliwa nduo mchana kweupeee!
Shangaa na wewe!Aise imetengenezwa au imekuaje
Wewe Albaab hujawahi kumiliki hata kabati la nguo, unamkosoa Ghalib njia aliyoitumia kudai mali yake?Kama huyo anaesikika akihemka kwa jazba hapo ndie Gharib, basi sina mashaka kuwa ni muhuni mwenye akili za kitoto. Bilionea mkubwa unatishia mtu ambae hajabeba silaha kwa kupiga risasi?
Simkubali makonda na kinachompata hivi sasa ni KARMA; wala asilalamike, asilie, ajikaze kiume na ajiandae kuuonja mkuki!
Hata ile kuisusia taifa Starz kisa ugomvi wa nembo yake na simba ilikua ni akili za utoto pia.
Jiulize kwanza kama Makonda mwaka 2013 alikuwa hata na nauli ya basi kwenda kugombea ukatibu mwenezi wa UVCCM? Nauli aliomba kwa Mkapa na anakiri mwenyewe.Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua
Ushauri tu, usijenge chuki
Wewe hufuatiliagi mambo? Unasubiiri Mwarabu au Muislamu mwenye hadhi kubwa apate scandal ndiiyo uonyeshe interest.Naiona imetoka kwa Sabaya ipo kwa Makonda hivi sasa, au siyo?
Kesi ya Makonda na Kubenea vipi, iliisha?
Unajua suala serious likianza kujadiliwa kwa mhemko hupoteza hata maana yake.Jiulize kwanza kama Makonda mwaka 2013 alikuwa hata na nauli ya basi kwenda kugombea ukatibu mwenezi wa UVCCM? Nauli aliomba kwa Mkapa na anakiri mwenyewe.
Makonda ameanza kupata hela mwaka 2014 baada ya Samuel Sitta kumuingiza kwenye Bunge maalaum la Katiba. Yasemekana mzee Spika alikuwa anakula ule msambwanda wa Makonda
HiZo document nimeshaziona zinasambaa mtandaoni zimefojiwa mbona unalazamisha mambo ni fakeKubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua
Ushauri tu, usijenge chuki
Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidenceKubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua
Ushauri tu, usijenge chuki
Sijali dhoruba atakayoipata Makonda, soma vizuri bandiko langu "ni zamu yake kuhenya"Wewe Albaab hujawahi kumiliki hata kabati la nguo, unamkosoa Ghalib njia aliyoitumia kudai mali yake?
Kama ametumia bastola vibaya, mchukue Makonda nendeni Polisi mkafungue jalada.
Mijitu kama Makonda haipaswi kuwa treated kiungwana. Hivi unakumbuka alivyompiga mtama Mzee Warioba pale U ubungo Plaza?
Infinity, qx90Acura
Mnyama mkali 🔥🔥🔥🔥
Duh, naona wanataka sasa kumharakishia safari ya kumfuata MwendazakeKaz imeanza Sasa
Hayo ni machache tu kati ya mengi yaliyojificha
Bado naibu waziri wa ardhi na yeye kufungua kesi ya kusingiziwa anauza sembe kali
Hio ndo signature makonda?Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidence
View attachment 2147040