Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidence

View attachment 2147040
Hapa klichofanyika Senior Counselor amegonga seal halafu Badae ndio picha zikabandikwa.
.
Ni kama vile ww Uko ofsn kwako wakili anakuandalia docs anakugongea seal halafu ww Unakuja kusaini Badae
.
Hii Nadhani Ilkuwa Zimamoto, mikataba ya Kihuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hata mzee wa msoga na prince
 
Kwa hiyo wewe hukuwa Tanzania? Hujui aliyemuuwa Ben Saanane? Azory Gwanda? Hujui nani alikuwa kinara wa kundi la WASIOJULIKANA? Waliommiminia risasi Tundu Lissu?
Hiyo ni minong'ono ya mtaani tu. Unaweza kuweka ushahidi mbele ya hakimu mahakamani kama ukitakiwa kufanya hivyo?.
 
Hizo ni story tu, unaambiwa toa nyumba au hutoki jela, tunakubambikia kesi ya isiyo na dhaman, sasa kuswekwa jela na kuachia nyumba bora nini?. Sasa hasira za kumjeruhi mtoto wa koboko ndio Makonda ataielewa. Kuna watu wanyonge usoni tu lakini mila na jadi zao hazina tone la unyonge.

Jibu ndilo hili tunalijadili, nyumba inarudi na jela katoka mapema.

Hao wote nasikia waliswekwa ndani wakati wa Makonda.
 
Document ya mwaka 2013 bado safiii, kuna watu wanajua kutunza...then picha ziko juu ya mihuri daaaah...halafu mihuri mipya kabsa km imepigwa leo vile,,, BTW 2013 Makonda alikua na uwezo wa kununua mali ya 120M?! Basi jamaa katoka mbali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tuliaminishwa kua Bwana PCM hagusiki hata na awamu hii. Lakini kwa kilichotokea kwenye sakata la hiyo nyumba linanipa mashaka na zile kauli za kua ana godfather wa ngazi ya juu sana na kwa hiyo anaendelea ku enjoy impunity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…