Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Hii nimeisha izungumza hapa
Ile sio corruption, ni tax aversion, sheria za Kodi dunia mzima, Kodi zinalipwa na residents only, members of diplomatic corp are exempted, hivyo aliyeiba Kodi yao ni raia wao, na alipoulizwa kama amelipwa mara mbili, aliruka kimanga, maana angekubali, ni jela straight.

Baada ya mlipwaji kugoma kuwa hakupokea pesa, ndipo Balozi Prof. Mahalu ikabidi apelekwe kwa pilato, na kiukweli aliisha nasa, ndipo Ben Akamnasua.
P
 
GSM nao ni kichaka tu cha rushwa na uozo mwingine
si muonyeshe huo uozo washughulikiwe, au ni hisia tu kama yule mwandishi wa habari aliyekuwa anamtegea makonda. anaonge kama katoka uhayani leo.
 
Hiyo video Iko Ap Mkuu, naomba ipost tena
 
Public ilivyo na chuki na Bashite, hakuna atakachokisema kitakachomtakasa!
Yeye Mimi binafsi kama hajaweka vyeti vyake hadharani hana cha kunishawishi!
Alete vyeti orijino Kwanza!

Tokea aingie Clouds na mitutu, namuona jambazi Tu!

Alete chanzo chake cha mapato, kilichompatia 120M! Bila hivyo yeye ni MNYANG'ANYI
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hivi Makonda hana watu wa kumshauri kweli anafanya Nini TANZANIA ? Kuna watu wana matumaini ambayo ni infeasible. Kurefer ya sabaya Makonda alitakiwa ahame nchi siku nyingi sana.
 
Kila jambo lina mwisho kwenye hii sayari, leo bashite ndiyo anakosa imani na jeshi la police , naomba mwenye ile picture za matukio hasa siku waitara anatangazwa mbunge baada kuunga juhudi aiweke kwenye mitandao ili dunia iione na wengine wajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…