Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Hii nimeisha izungumza hapa
Kwa hiyo ndio theory iliyokua nyuma ya kesi ya Profesa Mahalu? Hata state house ilihusika? Kwa hivi hatuwezi kuwekewa sanctions? Maana hii ni state corruption. We at at fault with all the international laws and regulations. Kwa kesi hii Makonda ameliwa. Halafu under normal circumstances he cant construct a house that big with the meager salary of a civil cervant. Hata maraisi inabidi wajengewe na serikali maana ni near impossible
Ile sio corruption, ni tax aversion, sheria za Kodi dunia mzima, Kodi zinalipwa na residents only, members of diplomatic corp are exempted, hivyo aliyeiba Kodi yao ni raia wao, na alipoulizwa kama amelipwa mara mbili, aliruka kimanga, maana angekubali, ni jela straight.

Baada ya mlipwaji kugoma kuwa hakupokea pesa, ndipo Balozi Prof. Mahalu ikabidi apelekwe kwa pilato, na kiukweli aliisha nasa, ndipo Ben Akamnasua.
P
 
Hii nimeisha izungumza hapa
Kwa hiyo ndio theory iliyokua nyuma ya kesi ya Profesa Mahalu? Hata state house ilihusika? Kwa hivi hatuwezi kuwekewa sanctions? Maana hii ni state corruption. We at at fault with all the international laws and regulations. Kwa kesi hii Makonda ameliwa. Halafu under normal circumstances he cant construct a house that big with the meager salary of a civil cervant. Hata maraisi inabidi wajengewe na serikali maana ni near impossiblelll in
Ile sio corruption, ni tax aversion, sheria za Kodi dunia mzima, Kodi zinalipwa na residents only, members of diplomatic corp are exempted, hivyo aliyeiba Kodi yao ni raia wao, na alipoulizwa kama amelipwa mara mbili, aliruka kimanga, maana angekubali, ni jela straight.

Baada ya mlipwaji kugoma kuwa hakupokea pesa, ndipo Balozi Prof. Mahalu ikabidi apelekwe kwa pilato, na kiukweli aliisha nasa, ndipo Ben Akamnasua.
P
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Hiyo video Iko Ap Mkuu, naomba ipost tena
 
Balaaa zito
salehjembefacts_2792453760849943572_3442463079_0_1070x1109.jpg
 
Dar es Salaam. Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.

Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Machi 12, 2022 jijini hapa Wakili Mgongolwa amemtaka mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kuweka wazi vielelezo alivyonavyo vya umiliki wa eneo hilo na vielelezo kutoka Wizara ya Ardhi vinavyompa uhalali wa kulimiliki.

Hata hivyo, Makonda alipotafutwa kwa simu leo, amejibu kwa ujumbe wa WhatsApp, akisema; “GSM usinilazimishe kusema uozo wako achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua.”

Kama hiyo haitoshi, katika ukurasa wake wa Instagram, Makonda aliweka video ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka ambayo pamoja na mengine alieleza haja ya kutaka Jeshi la Polisi kuchunguzwa, kisha akaweka ujumbe:

“Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu, ya kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi, wanaolipaka tope Jeshi la Jolisi kwa kuwalinda wafanyabiashara MATAPELI wanaodhulumu mali za watu. Naomba tuanze na Dar es salaam na mimi Paul Makonda niko tayari kutoa ushirikianao
Public ilivyo na chuki na Bashite, hakuna atakachokisema kitakachomtakasa!
Yeye Mimi binafsi kama hajaweka vyeti vyake hadharani hana cha kunishawishi!
Alete vyeti orijino Kwanza!

Tokea aingie Clouds na mitutu, namuona jambazi Tu!

Alete chanzo chake cha mapato, kilichompatia 120M! Bila hivyo yeye ni MNYANG'ANYI
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Hivi Makonda hana watu wa kumshauri kweli anafanya Nini TANZANIA ? Kuna watu wana matumaini ambayo ni infeasible. Kurefer ya sabaya Makonda alitakiwa ahame nchi siku nyingi sana.
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Kila jambo lina mwisho kwenye hii sayari, leo bashite ndiyo anakosa imani na jeshi la police , naomba mwenye ile picture za matukio hasa siku waitara anatangazwa mbunge baada kuunga juhudi aiweke kwenye mitandao ili dunia iione na wengine wajifunze
 
Back
Top Bottom