Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, UKITAPELIWA while na wewe ni TAPELI basi usichukue hatua za kisheria tu kwasababu na wewe umewahi kutapeliwa! Asante kwa elimu nzuri though sina hakika kama hili jambo unalolisema ni la kisheria, bado naendelea kujifunza
 
Makonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Sema akyaa Mungu
 
Watu wengi wa karibu na mwendazake walitajirika kupitia jina lake
 
rushwa moja wanayopenda kuitumia wafanyabiashara wakubwa Tanzania ni kuwajengea ma property hawa ma rais na wakubwa wengine...... Wanajenga wanakupa umiliki.... JK kapewa sana ma apartment Mikocheni
I second this
 
Watu wengi wa karibu na mwendazake walitajirika kupitia jina lake
Kuna mmoja ni dereva wa malori ya mizigo kwenda nje hasa Congo na Zambia.. Aliniambia boss wao anasumbuliwa na watu wakidai wametumwa na mamlaka.
Mara ni lazima uchangie mifuko ya cement 500 pamoja na nondo za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu eneo fulani..Kilichomshangaza akaona taarifa ile kwenye TV mifuko 200 tuu tena nondo hazikuwekwa.
Kila mwezi anagongewa mlango na watu kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya..nk wakisema order kutoka juu.. Tunahitaji 40 M kwa ajili ya eneo hili nk.. Ilibidi nusu ya malori yake abadili no kuwa za Rwanda na Zambia.. Ili ionekane kampuni imeyumba na hana uwezo wa kila mwezi kuchangia mahela ya miradi ya maendeleo.
 
Huyu mpuuzi anatakiwa afungwe alikuwa mla rushwa sn
Vijana wa Shikuba mnahangaika sana,hakuna issue hapo....

Tajiri yenu ananyea ndoo kwa Biden gerezani.

Nyinyi mnahangaika na visasi mitandaoni.

Hizo video za Mange Kimambi ni Uchuro mtupu.

Makonda ni Untouchable.
 
Kwa hiyo kama amedhulumu kweli GSM aache kudai haki yake kisa Makonda anaweza kuwa kiongozi tena!!! Arudishe mali za watu kama kweli alidhulumu hayo ya kesho itakuwaje, kila mtu ana kesho yake.
 
Sio huyo tu wapo wengi sana walitishiwa maisha na vijana wa chini ila Magufuli hakuyajua hayo ni watu ambao sio waaminifu walikuwa wanamzunguka kwa maslahi yao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…