Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

GSM ndo KIKWE..... NDO HELA ZA SHOPPING CENTER ZILIPOFICHWA NDO HAO WALIO IUA KARIAKOO KWA KUONDOKA NA MITAJI YA WAFANYA BIASHARA NDO WAKWEPA KODI WAKUBWA
Hii mitaji ya wafanyabiashara iliondoka nao kivipivipi? Mbona kama machuki machuki yapo kazini?
 
Ukitaka kuona real zile afrikan illusion characters njoo JF, yaani watu wanaandika utadhani wao ndiyo walidhurumiwa, kuuliwa ndg, kutapeliwa, kufungwa nk.
Yes sisi ndio tuliodhulumiwa na kuuliwa ndugu zetu, kwani mimi unanifahamu? Azory, ben , alphonce hawa ni ndugu zangu,.wamachinga waliobomolewa vibanda na kupokonywa bidhaa zao kuna wapwa wangu pale, nyumba zilizobomolewa kimara mojawapo ni ya baba yangu mdogo.

Kwanini nisilie nao kwa hizo dhuluma.?

Au hadi auliwe, adhulumiwe nduguyo wa damu ndio utakuja JF kuandika na kulalama?
 
Kama serikali iliamua kumfungulia kesi za kutosha Sabaya sioni ni kwanini Makonda ambaye ni zaidi ya Sabaya serikali hiyo hiyo inapata kigugumizi cha kumfungulia kesi. Mbona ni swala rahisi sana ni kiasi tu cha kutangaza kuwa kila mwenye ushahidi awasilishe polisi au takukuru basi biashara imeisha. Ikitokea ushahidi haujitoshelezi basi aachiwe na mahakama imsafishe aachwe aendelee na maisha yake kama kawaida.

Lakini hii habari ya kuacha kila mtu aende binafsi kumdai Makonda naona kama linaichafua serikali na ni hatari kwa maisha ya Makona kwani sio wote watakaenda kudai mali zao kistaaarabu hasa ikitokea kama kweli kuna mtu ana madai halali halafu alidhulumiwa kibabe kwani kila mtu anajua yaliyokuwa yanatokea kipindi hicho.
 
Yes sisi ndio tuliodhulumiwa na kuuliwa ndugu zetu, kwani mimi unanifahamu? Azory, ben , alphonce hawa ni ndugu zangu,.wamachinga waliobomolewa vibanda na kupokonywa bidhaa zao kuna wapwa wangu pale, nyumba zilizobomolewa kimara mojawapo ni ya baba yangu mdogo.

Kwanini nisilie nao kwa hizo dhuluma.?
Is the first time for this to happen?.
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Ajali ya aina moja mara mbili?

...amka, hii ndoto sio nzuri.
 
Hao GSM nao wana record mbovu tu, hapo naona tapeli nae katapeliwa.

Kila nikisoma ule uzi wao ulioko huku JF naona hao jamaa nao wanatakiwa kuchunguzwa na vyombo vya dola, ni wahalifu wanaolindwa na urafiki kati yao na walioshika hatamu.

GSM na Makonda wote marafiki wa Ikulu, shikeni majembe yenu mkalime tu.
Mkuu peleka mahakamani
 
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Akili hizi ndiyo akili za Sukuma Gang. Makonda hatokuja ibuka tena kisiasa. Yule aliyekuwa anamuwezesha tulimfukia Chato March / 27/ 2021.
Na wala usimfananishe na Nape wala Makala. Hawa wameiva Ila Makonda alipanda sababu ya uwezo wake wa kuua ambao uliendana na Magufuli
 
Alichofanya Makonda kwenye nchi hii sio kigeni na ni sehemu ya maisha ya viongozi wetu wengi..

Kwanini nao GSM wamjengee nyumba Rais, kama nia yao kumzawadia JPM familia yake bila shaka ipo, wamjengee wamkabidhi Mama Janeth..
 
Back
Top Bottom