Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Samahani bibi, hivi enzi zenu hii mipira ilikuwa imeshaingia au ulikuwa unatumia mifuko ya rambo?
 
Una elimu gani?
Huwa unatafakari kabla ya kuandika au unaandika chochote kikujiacho?
Kwamba GSM ni wahalifu kwahiyo hawana haki mbele ya sheria? Hata wakionewa wasishitaki?
Kwamba wote ni marafiki wa Ikulu? So hata pakiwa na habari inayowahusu watu wasijadili?
RC. Kutapeli nyumba kwakutumia jina la Rais ni HABARI........ sasa watu wasijadili kisa wote ni marafiki wa Ikulu?
muwe mnaona haya basi
 
Hawatakiwi kulipa kisasi. Wanatakiwa kutenda haki...
 
Makonda leo nae analalamika??? Kweli Dunia duara....Jengo lenyewe linaonekana halijaisha...Lakini Kupitia Makonda watu wajifunze ubaya hapa Duniani haudumu na ukitenda ubaya utaulipia kabla hujafa...kingine cheo hakidumu heshimu watu...
Mbona akina W Bush wamedumu na wanadunda tu? Au unadhani Mungu aliposema anawanyeshea mvua wema na wabaya hukutambua nao wabaya wanaishi miaka mingi kwa makusudi ya Mungu?
 
 
Makonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Duuuh...[emoji15][emoji2960]
 
Unaitwaje huo uzi?
 
Daa jamaa namfahamu kitambo sana alikuwa mtu poa sana nilikuwa mwajiriwa kwenye kampuni ambayo ilikuwa inafanya biashara na FULLTIME SECURITY. Sijamuona siku nyingi na sikuwahi kufahamu kuwa jamaa naye aliptishwa kwenye tanuru la moto na wenye nchi wa wakati huo.
 
Sio kidole tu bali wameshachukua nyumba yao aliyotaka kuwatapeli kwa mgongo wa JPM na ni wazi bashite hana cha kuwafanya.

GSM ni vijana wa msoga hawakosi back up ya riz ambaye ni naibu waziri wa ardhi na makazi.
[emoji13][emoji13]kumbe ndo maana naibu waziri wa ardhi alikua anawaonya sana wavamizi wa maeneo ya watu[emoji1781][emoji1781]
 
GSM ndo KIKWE..... NDO HELA ZA SHOPPING CENTER ZILIPOFICHWA NDO HAO WALIO IUA KARIAKOO KWA KUONDOKA NA MITAJI YA WAFANYA BIASHARA NDO WAKWEPA KODI WAKUBWA
Kipindi cha sakata la homeshoping sikuwa na smartphone hivi ilikuaje
 
😀😀 Bashitee kwisha habari yako, sasa ndiyo muda wa kurudi Misungwi ukavue samaki Jiji tuachie sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…