Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

msomeni huyu mpuuzi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa hiyo ukidhulumiwa na mwanasiasa utulie tu. akitaka hivyo akamdhulumu mama yake wamalizane kindugu
Huyo kama utakumbuka vizuri ndiyo alikuwa mtetezi wa maovu yoote ya Makonda kipindi cha Jiwe.
 
Ungejua nafasi aliyonayo bashite huko serikalini sasa hivi.........
Nimegundua wengi vingi hamjui, ndio maana nilisema Kubenea anapoteza muda
Serikali ipi ambayo Bashite ana nafasi? Niambie ofsini kwake niende nikamzabe vibao!!

Acheni utani ile takataka haitokuja kupata nafasi tena, inasubiri siku yake tu ya kuungana na Ole Sabaya
 
Pamoja na mabaya yake lakini huruma imenishika kwa jinsi anavyojieleza mbele ya huyo afande.
Huo nao ni ugonjwa, nenda kwa psychiatrist. Unaanzaje kumhurumia Makonda?
 
Kwa kweli akafe mbele....
alikuwa anatengeneza taswira mbovu kwa vijana wa buku saba wakimuona kama role model wao huku wakishupaza shingo kuwa na wao watayapatia maisha kwa kuunga unga....
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Wezi nendeni mkateane huko sisi letu bando tu.🤣🤣
 
Makonda leo nae analalamika??? Kweli Dunia duara....Jengo lenyewe linaonekana halijaisha...Lakini Kupitia Makonda watu wajifunze ubaya hapa Duniani haudumu na ukitenda ubaya utaulipia kabla hujafa...kingine cheo hakidumu heshimu watu...
Wakati Makonda na Sabaya wanadidimia Tazama Mbowe anavyoinuliwa siku hadi siku.
 
Mbona hawakusema toka mwanzo kua Makonda anawalazimisha wamjeengee hiyo Nyumba! Hao wote wanajuwana kwenye ma deal yao machafu! Na si muda Siri zao wote watazitoa kwa jamii, ili mjuwe aina ya Viongozi na Wafanyabiashara mnao waamini sana!!
Waseme Kwa nani ? Makonda mshahara rc unatosha kweli kumiliki Mali hizo ?
 
Back
Top Bottom