Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Mimi nadhani Makonda kufanya hii 2013 ili kuonesha kuwa hakumiliki ardhi hii wakati akiwa mkuu wa mkoa kuepuka na dhana labda alipora lakini kama ni issue kuanzia 2013 kweli leo 2022 watu walikuwa kimyaa. Ni wakati wa Gharib kuongea ukweli upande wake hii issue imekaaje? je ni kweli ile ni signature yake? na je ni kweli aliuza eneo mwaka 2013? mwaka 2013 ni muhimu sana au je ali sign kwa nguvu siku za karibuni kwa kushurutishwa? Hili jambo serious na sio kwa sababu Makonda tu huko ardhi wanafanya mangapi kama haya. Mimi kwa maoni yangu kuna uganganyifu maana kama GSM aliuza kweli sioni sababu ya kudai lakini hapa tunataka kujuwa 2013-2022 nani alikuwa anamiliki nini kimetokea katikati hapa.
Na kama alinunua 2013 na mikataba kama hivyo inajionyesha si transfer ya Title Deed ingekua ipo kwa jina la Makonda sasa hivi? Kitu gani kimepelekea transfer of ownership isikamilike miaka tisa baadae?

Hiyo inayoonyweshwa na kubishaniwa ni mikataba. Tunataka kuona Title Deed yenye jina la Paul Christian Makonda
 
Nakubaliana na wewe nadhani na GSM aoneshe title deed hapo Makonda ndio utakuwa mwisho wa safari yake.
 
Mama kama anataka kubaki salama amwache DAB nje ya system. Asimpe cheo chochote. DAB ataharibu sana taswira ya huyu maza!
 
Kama walimfanyia mchezo suala la kwanza inawezekana wamecheza Na mwanasheria. Je, aliyepiga muhuri kaupata lini? Maana inawezekana kaingia kwenye roll 2015 au mbele. Hicho ndo cha kwanza kuchunguza. Pia at that time inabidi approvide bank statement zake kuonesha chanzo chake cha mapato. Kazipata wapi hizo hela nyingi hivyo? Pia eneo kama Ada Estate at that moment at least kiwanja kilikua kinarange 500M- 1Billion. How did he convince the man to sell at less PRI e? Pia kiwanja kimelipowa Land rent. Who was paying? Who have the receipts? How does the government registry say about the receipts? When forging and backdate, make sure to correct all the registers
 
Huyo Mwarabu Koko aache uhuni si aende mahakama ya ardhi akadai haki yake anarusharusha risasi za nini si aende Ukraine Kama anahamu ya kurusha risasi....Wahuni wawili waliigeukana hao
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Hapo bashite hana chake tena ataishia kulia lia tu akumbuke pia naibu wazir wa ardh aliwai kumusingizia jambo kubwa
 
Kapuku Makonda alikuwa na urithi gani ?
Usiite watu makapuku huku hujui wameanzia wapi, kwasababu kila binadamu anapokuja Duniani, anakuja with nothing, na ataondoka with nothing, hivyo kupata Mali, utajiri, umaarufu ni akili ya mtu na sio lazima, iwe ni Mali ya urithi. Paul Makonda, sio tuu ni kijana mwenye akili Sana, pia ni mtu mwenye bahati.

P
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Nyie
 
Na huyo GSM umesha jiiuliza kwa nini wampe Mkuu wa Mkoa wa DSM zawadi yenye thamani kubwa Kama hiyo!? What do they wanted in return kutoka kwa Mkuu,ambacho hawajakipata au hajakitimiza na wakaamuwa wamdai Mali yao waliompaa!?

Ben Sanane yuko wapi?
 
Usiite watu makapuku huku hujui wameanzia wapi, kwasababu kila binadamu anapokuja Duniani, anakuja with nothing, na ataondoka with nothing, hivyo kupata Mali, utajiri, umaarufu ni akili ya mtu na sio lazima, iwe ni Mali ya urithi. Paul Makonda, sio tuu ni kijana mwenye akili Sana, pia ni mtu mwenye bahati.

P
Sukuma Gang upo kumtetea mwenzako baada ya kukosa uteuzi. Kila la kheri mkuu
 
Kaz imeanza Sasa

Hayo ni machache tu kati ya mengi yaliyojificha

Bado naibu waziri wa ardhi na yeye kufungua kesi ya kusingiziwa anauza sembe kali
Ameona kuna loose sehemu? Au anatumia cheo chake
Mbona hakufungua aliposingiziwa, alisubiri nini na sasa kuna mazingira gani

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Makonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Atakuwa anaishi huko sasa hivi mana kuna siku nilimuona maeneo ya CF anatembea na mabaunsa wawili kuelekea capripoint
 
Pia eneo kama Ada Estate at that moment at least kiwanja kilikua kinarange 500M- 1Billion. How did he convince the man to sell at less PRI
Mkuu ammoshi , kwenye mauziano mengi ya land, na hata Nagari ya thamani kubwa, watu wanafanya deflate the price ili walipe transfer fee ndogo. Hiyo figure inayoonekana hapo sio the real price, hiyo ni just a visible cost, lakini the real cost ni nyingine. Michezo hii serikali yetu inainua na tunaicheza at government level, mfano mzuri ni ununuzi wa jengo la ubalozi wetu Rome, tumelipa mara mbili, kwanza tumelipa the visible cost, malipo yanayoonekana na kukatiwa receipt na kulipwa through bank account ya ubalozi, ambayo ndio yatalipiwa Kodi.

Kisha malipo halisi, yanayolipwa cash from personal account ambayo hayaonekani, hayajaandikwa na hayalipiwi Kodi na hakuna receipt ya mpokeaji. Ambapo fedha ziliingizwa kwenye account personal ya Balozi, na yeye kuzi withdraw na kulipa cash.

CAG alipogagua, akadhani Balozi amepiga, na kwa sababu kuliisha tokea ugomvi wa kugombea naniliu, Mzee Baba wa wakati huo, akampeleka kwa pilato, kama Amatius Liyumba, alivyo shughulikiwa ni ...

P
 
Sukuma Gang upo kumtetea mwenzako baada ya kukosa uteuzi. Kila la kheri mkuu
Kutetea watu humu sikuanza Leo...
Hivyo hata sasa kwenye hili la kutaka kumpora nyumba, tutamtetea.
P
 
Kutetea watu humu sikuanza Leo...
Hivyo hata sasa kwenye hili la kutaka kumpora nyumba, tutamtetea.
P
Tutamtetea?
mangekimambi_-___Ca-CuSWrHbR___-.jpg
 
Back
Top Bottom