VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

Uteuzi wa makamu mwenyekiti wa ccm umefunikwa pakubwa na uchaguzi wa chadema. Media zote all eyes on chadema election
Sasa media ziache kufuatilia uchaguzi zifuatilie uteuzi?

Kinachofanyika Dodoma ni picnic tu ndio maana leo Kikwete kaenda Dodoma na treni ya SGR na wasanii kibao kina Wema Sepetu na Bongo Mavi kama wote.

Kule unaenda kufanyika ufuska kwa siku hizi Dodoma itanuka mavi.
 
kama n'mbwai na iwe mbwai bwana..😀😀😀Safi sana makamanda hiyo ndio demokrasia.. Wale wasingeweza hata kuangaliana machoni achilia mbali kushikana mikono
acha uoptoshaji gentleman,
demokrasia sio huo unafiki wa hao jamaa 🐒
 
Haya majamaa yatakuwa yanatusanifu nini? Usijekukuta tarehe 21 Lissu anajiondoa!
 
Sasa ulitaka wapigane makonde? Upuuzi huo uko huko CCM tu.
 
Kwa waliosoma cuba hiyo imeendaaaaa.....
Yaani ogopa sana msimamo wa mwanamke ogopa sana nguvu ya mwanamke.
Lissu utatusamehe - wacha twende na Mwamba kwanza hii mitano.
Wewe piga punyeto tu ukiamini unadinya.
 
Kamisa Dokta huko ni kusambaza ngoma kwa kwenda mbelee
 
Aisee Mbowe anajua siasa sana, kweli anastahili kuitwa Jabari.
Hata CCM wapo wachache sana wenye uwezo kama wa huyu Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…