Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Utahama nchi muda si mrefu.Picha za mwisho mwisho kabla Lissu kushindwa uchaguzi Chadema na kuhama chama na kutimkia ubelgiji
Lissu is already the party chairman.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utahama nchi muda si mrefu.Picha za mwisho mwisho kabla Lissu kushindwa uchaguzi Chadema na kuhama chama na kutimkia ubelgiji
Sasa media ziache kufuatilia uchaguzi zifuatilie uteuzi?Uteuzi wa makamu mwenyekiti wa ccm umefunikwa pakubwa na uchaguzi wa chadema. Media zote all eyes on chadema election
Na mbowe akikosa uenyekiti itakuwaje?Ila najaribu kuwaza ikiwa lisu atakosa uenyekiti nini kitatokea 🤔
Ubelgiji inakutoa roho sana!?Wewe nenda kijijini kwenu ukapalilie mihogo.Picha za mwisho mwisho kabla Lissu kushindwa uchaguzi Chadema na kuhama chama na kutimkia ubelgiji
Chadema haiwezi ongozwa na mbelgiji tunamtaka mtanzania mwenzetu MboweUbelgiji inakutoa roho sana!?Wewe nenda kijijini kwenu ukapalilie mihogo.
Nenda kakeshe uani kwake umlilie.Chadema haiwezi ongozwa na mbelgiji tunamtaka mtanzania mwenzetu Mbowe
acha uoptoshaji gentleman,kama n'mbwai na iwe mbwai bwana..😀😀😀Safi sana makamanda hiyo ndio demokrasia.. Wale wasingeweza hata kuangaliana machoni achilia mbali kushikana mikono
Inaweza isiwe na madhara makubwa kuliko lisu kukosaNa mbowe akikosa uenyekiti itakuwaje?
Haya majamaa yatakuwa yanatusanifu nini? Usijekukuta tarehe 21 Lissu anajiondoa!Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wote wawili wanamchuano mkali kuelekea Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA unaotarajiwa kufanyika Januari 21.
Mbowe na Lissu wakicheza kwa furaha katika mkutano mkuu wa wanawake CHADEMA (BAWACHA)
Pia, Soma:
- PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Sasa ulitaka wapigane makonde? Upuuzi huo uko huko CCM tu.Leo kwenye mkutano wa BAWACHA Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wameonekana wanasalimia kwa bashasha. Wakati jana tu Lissu katoka kumshushia maneno makali sana na tuhuma kibao mwenyeketi wake halafu leo ety kwa madai yao wanaonyesha wapo sawa.
Mh ndiyo maana nimesema hichi chama tena akipewa huyu Lissu ndiyo kwaheri kabisa CHADEMA katika ramani ya siasa nchini. Maana ajuhi kujishikilia kwenye siasa za kistaarabu anahisi kuropoka kwake ndiyo silaha kumbe ni ujinga mtupu!
CCM ni namba moja. Mama Samia mitano tena! Mpaka 2030
View attachment 3203686
Wewe piga punyeto tu ukiamini unadinya.Kwa waliosoma cuba hiyo imeendaaaaa.....
Yaani ogopa sana msimamo wa mwanamke ogopa sana nguvu ya mwanamke.
Lissu utatusamehe - wacha twende na Mwamba kwanza hii mitano.
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nimeshituka kuwa Dom kuna vikao vya CCM baada ya "majamvi" yangu ambayo ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuanza kunitafuta simuni na kuwa wapo Dom, nipo wapi!
Nyie kwenu mnaongozwa na mkojani sasa ya Chadema yanakuhusu niniChadema haiwezi ongozwa na mbelgiji tunamtaka mtanzania mwenzetu Mbowe
🤣🤣Sasa ulitaka wapigane makonde? Upuuzi huo uko huko CCM tu.
Kamisa Dokta huko ni kusambaza ngoma kwa kwenda mbeleeSasa media ziache kufuatilia uchaguzi zifuatilie uteuzi?
Kinachofanyika Dodoma ni picnic tu ndio maana leo Kikwete kaenda Dodoma na treni ya SGR na wasanii kibao kina Wema Sepetu na Bongo Mavi kama wote.
Kule unaenda kufanyika ufuska kwa siku hizi Dodoma itanuka mavi.
Allah umestuka Tenaacha uoptoshaji gentleman,
demokrasia sio huo unafiki wa hao jamaa 🐒
elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman 🐒Allah umestuka Tena
Kweli wapambe nuksi
Wao wanateuliwa mtu afu wanapitisha.. Huo ni uchaguzi ama kuja kutembea DomCCM waige demokrasi CDM.