Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa nini isiweze kumtokea mlinzi wa Rais? Kwani yeye si binadamu kama sisi wengine?Hii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.
Kazi gani unaifanya na hupati muda wa kujifua ( kujiweka fit) ?Iwe pared ya kitaifa au yoyote ile ilo swala kawaida huyo kazini kumbuka hatoki saa tisa kumbuka ilo sio kama ww unawez toroka kazini kwako saa 7 mchana unapata mda wa kupumzika
Mzee acha kuleta hoja nyepesi. Quality matters!Iwe pared ya kitaifa au yoyote ile ilo swala kawaida huyo kazini kumbuka hatoki saa tisa kumbuka ilo sio kama ww unawez toroka kazini kwako saa 7 mchana unapata mda wa kupumzika
Unabidi usisubiri atoe taarifa unaweza ukamtoa mapema kwakusenseMkuu huwa utaratibu unafanyika huwezi kumtoa mtu kama unavyofikiri taarifa uenda alishatoa ishara katika hatua za kumbadirisha hali ikamzidia
Umejijaza kama vile wewe ndio Mmiliki wa Shinda Maumivu. 😂😂😂 Punguza ujuaji. Niliposema Uangukaji wa Askari hautakua sawa na Civ. Umei acknowledge tayari🫂 hizo zingine sio mahala pake. Halafu waongeaji sana wa 92 Huwa ni Anti terrorist tu😂😂 Ila Amphibian na L.Special they dont give a damn Shit hapa. Jibu ni sawa sawa ImeishaTraining za CDOs siyo za namna unavyodhani. Endurance is a key to become a member.
Mazoezi ya kutosha humuweka askari fit, Hawa wataalamu wanakosa mazoezi ya utimamu ya kutosha. Acheni kudanganyana eti yeyote anaweza kukutwa na Hali hii. Hii ni physical fatigue inayosababishwa na kutokuwa na physical fitness.
Simaanishi kuwa CDO hawezi kukumbwa na changamoto ila the folks are quick to take cover!
Shuruba za Special Force siyo za kuja kushindwa kustahimili kusimama muda mrefu.
Hawa wataalamu wapatowe
maandalizi ya paredi gani? Au hata hujui maana ya paredi?
Pared kuna kipindi cha uvumilivu na ndio kipindi kigumu sana kuliko ata kutembea katika kipindi iko ata nzi akikitaka kuingia mdomoni si ruhusa kumfukuza na ndio watu wengi hali kama ya huyo mlinzi huwatokea hapo haichagui mwanamke au mwanaumeKazi gani unaifanya na hupati muda wa kujifua ( kujiweka fit) ?
Mzee acha kuleta hoja nyepesi. Quality matters!
Paredi na ulinzi wa mkuu wa nchi ni mambo tofauti sana.
Anyway pole kwa mtaalamu. Inshallah atakaa sawa.
Umemjaza kisukari mwenzioUmejijaza kama vile wewe ndio Mmiliki wa Shinda Maumivu. 😂😂😂 Punguza ujuaji. Niliposema Uangukaji wa Askari hautakua sawa na Civ. Umei acknowledge tayari🫂 hizo zingine sio mahala pake. Halafu waongeaji sana wa 92 Huwa ni Anti terrorist tu😂😂 Ila Amphibian na L.Special they dont give a damn Shit hapa. Jibu ni sawa sawa Imeisha
Ndo tujue kuwa hoja za haki sawa ni upuuzi. Tuna fursa sawa ila hatuna haki sawa.Labda amevuja damu nyingi kwenye siku zake(period). Wanawake Wana complications nyingi, wanapaswa kufanya kazi ndogo ndogo tu. Mambo ya gender equality yatawatesa sana
Jk alikuwa ana bamiza Sana pale jangwani 😸Unasahau yule ni binadamu
Anything can happen kwenye mwili wa mtu
Possible presha ilishuka gafla
Hata jk iliwahi kumtokea sijui kama ulikuwa umezaliwa
Jk alikuwa ana bamiza Sana pale jangwani 😸
Mimi nadhani binadamu yeyote yule suala kama hilo linaweza kumtokea sehemu yoyote ile.Poppy wakati wa Mwalimu mambo kama haya yalikuwa yanatokea hayarekodiwi au hayakutokea?
Mtu wa mazoezi kama Ben Mashiba alikuwa anaweza kuweweseka hivi kweli kwa kusimama tu?
Kuna tatizo kwenye recruitment siku hizi au hii ni suala la kuwa human tu?
Hapana mkuu isipokuwa na clip Tu ya kale katukio 😎Una mwanasheria? 😆
Anasikia sikia tu watu hua wanakaa kwenye kwata sio wanawake sio wanaume, sema ndio hivyo tu ukiwa ni mtu ambae umeshapitia hayo mambo huwezi kushangaa unajua tu nini kimesababisha yote mpaka ikawa vile 'fatigue' ni issue nyingine yaan inaweza kukukumba popote siku usiyoitarajia na ukiwa kwenye hio hali usije ukaulizwa maswali ya ghafla ya hapo kwa hapo unaweza ukatoa majibu ambayo hata wewe mwenyewe baadae ukitulia unaweza ukashangaa yule aliekua anajibu ni wewe au ni mtu mwingine kumbe ni 'fatigue'Hujui kitu mkuu usiseme ivyo ushawai piga paredi au kuona maandaliz ya paredi?
Hapana mkuu isipokuwa na clip Tu ya kale katukio 😎
Nakumbuka kuna jamaa mbavu siku zote alikuwa anawacheka wanao anguka sasa siku hiyo ikawa zamu yake mbaya alikuwa mbele kabisa watu wakanza kumzoea ile ya ole wako uanguke aliangukia silaa nusu atoe jicho mzee afu sijui inakuwa nini mbele unaona giza masikio unasikia yanalia nzziiiiiiiiii ukifumba macho ndio unaanguka kabisa dahAnasikia sikia tu watu hua wanakaa kwenye kwata sio wanawake sio wanaume, sema ndio hivyo tu ukiwa ni mtu ambae umeshapitia hayo mambo huwezi kushangaa unajua tu nini kimesababisha yote mpaka ikawa vile 'fatigue' ni issue nyingine yaan inaweza kukukumba popote siku usiyoitarajia na ukiwa kwenye hio hali usije ukaulizwa maswali ya ghafla ya hapo kwa hapo unaweza ukatoa majibu ambayo hata wewe mwenyewe baadae ukitulia unaweza ukashangaa yule aliekua anajibu ni wewe au ni mtu mwingine kumbe ni 'fatigue'
💯%!Mbona hii hali inaweza kutokea tu msikuze mambo
N
Mlinzi gani wa Obama unayemzungumzia wewe?Mlinzi wetu naye macho yake yalianza kuwa kama huyo ofisa wa Obama, macho yalianza kuonesha kama mtu aliyepata mfadhaiko wa kukakamaa kuelekea kupoteza fahamu n.k
Tofauti timu ya ulinzi ya Obama walichukua hatua haraka zaidi kama inavyotakiwa
Acha kabisa watu wanapigwa kwata mpaka wanataka kurudi walipotoka hakuna kurudi nyumaNakumbuka kuna jamaa mbavu siku zote alikuwa anawacheka wanao anguka sasa siku hiyo ikawa zamu yake mbaya alikuwa mbele kabisa watu wakanza kumzoea ile ya ole wako uanguke aliangukia silaa nusu atoe jicho mzee afu sijui inakuwa nini mbele unaona giza masikio unasikia yanalia nzziiiiiiiiii ukifumba macho ndio unaanguka kabisa dah
Hio hata wewe siku ikikuotea inakupata na baadae utasema sio wewe yule alie 'faint' ila km hujawahi kuingia huko na kuona kimbembe kilivyo na yanayotokea lazima uishie kuropoka km hivyo sawa askari mguu chiniAache hiyo kazi akafanye kazi zingine kama Afya imemgomea.