Ila unakubari ni askari sio askari? Usianze kuchanganya mafaili ujuaji mwingi nao ni kipaji, mafunzo tofauti ila wote ni askari ingawa roles, duties and qualifications hazipo sawaMafunzo anayopitia bodyguard siyo sawa na ya askari wa kawaida ndugu yangu anza na kutambua hilo.
Kuonaaje tena hapo mkuu?
Kuna service alimchoma kuwa amemuona na nyama na mchele anaenda navyo kwake duh nilimuonea huruma anaongea kwa hasira kigugumumizi duh 😂Utamsikia Anakwambia umegundua eeeh?🤣🤣🤣🤣 Yule ameanza kupika tangu intake ya 19 kina Mrisho pale makutu 🤣🤣
Unabet?Hii ni dhahiri kuwa Usalama Taifa wanamafunzo duni sana kuliko majeshi Yote chunguza
Kwanini mkuuMwaka huu wa uchaguzi yatatokea mengi
Kwanini mkuuI think Boys from 92KJ can do better in this Unit! Just opinions.
Mitano tenaIla unakubari ni askari sio askari? Usianze kuchanganya mafaili ujuaji mwingi nao ni kipaji, mafunzo tofauti ila wote ni askari ingawa roles, duties and qualifications hazipo sawa
Ushaelewa hapo hapana shaka tunarudishana kwenye mstari tu ukitoka tunakurudishaMitano tena
Alichelewa kidogo,alipewa ishara mar mbili lakini nadhani hakusoma body language,ni kama aliomba maji au msaada.Si aliita hapo mtu
Mara ya pili? When did it happen!Sawa lakini Kwa nini awe yeye tuu Kila alipo Rais? Ndio protokali zenyewe au? Huoni itakuwa shida kila mara kama hawezi pumzika?
Hii ni mara ya pili.Kama Afya haiwezi kuhimili kusimama mda mrefu abadilishiwe majukumu.
Kwa siasa za tone tone hii mambo inaweza kuwa stagedin desperate situations call for desperate measures, yule jamaa amefanya kazi nzuri kumuokoa yule dada jambo ambalo nimejifunza kupitia hili tukio ,Rais hana haja yakulindwa na mtu sababu ya jinsia yake badala yake mtu mwenye sifa ,mafunzo na atakaye himili mikiki mikiki pale itakapo hitajika maana.
Ingekuwa hivyo ndege zingekuwa zinaanguka kwa sababu rubani alizimia kwa uchovu
Haumwi wala nini ukweli ni kwamba hicho Kikosi huwa Wanarogana sana hivyo ukute huyo hakuaga vyema huko Kwao.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
TOKA MAKTABA :
21 Oktoba 2019
Baadhi ya matukio karibu na rais yaliyozua mjadala mpana wa umma :
Ruangwa Lindi Tanzania ziara ya John Magufuli, walinzi wafanya maamuzi baada ya moshi kujitokeza unaoweza kuleta hali yoyote isiyotegemewa
Rais azingirwa na moshi unaoonekana kwa macho, pia kuna uwezekano wa hewa kuzingirwa na vitu au hewa isiyoonekana kwa macho
MOSHI / HEWA YAVURUGA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI RUANGWA,MLETE HUYO ALIYEWASHA
View: https://m.youtube.com/watch?v=IiWbvuPFcps
Pamoja tukio la moshi la 'ajabu' iligundulika ni fire extinguisher/ kifaa cha kupuliza kuzima moto lakini ziara ikaghairisha bila kusita kwa mujibu wa protocol ili kubaini ni kifaa cha zimamoto au la n.k
Hapana Mkuu ni kweli alizidiwa kwani kuna Kitu cha Maana tu kilitumwa Kwake ili adondoke / adedi Wengine wawe hapo.Kwa siasa za tone tone hii mambo inaweza kuwa staged
Sasa hivi anatibiwa Mzena huku akilambwa Viboko kwanini kakitia Aibu kikosi cha PSU kwa kutokuwa Mkakamavu tukuka.Alijikaza kweli ikashindikana
Uchovu au ana pressure imepelekea kupata kizungu zungu
Hope atapewa matibabu na kupata mda wa kupumzika