VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia


Umefikiri nje ya box kama wazee wa vitengo wa vyombo vyetu, hili jambo si dogo na halifaii kuchukuliwa kwa wepesi kama jinsi ya mitizamo ya walioona tukio hili.
 
Pole sana Dada, mlinzi wa Rais Samia kwa changamoto ya afya iliyokupata. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi urudi katika hali yako ya kawaida.
 
ni kweli mkuu. siku moja sikuamini macho yangu nilivyo muona mlinzi wa magufuli kaja kwa mganga lushoto kuaguliwa uck. dah nikasema kumbe na hawa jamaa wamo. we acha tu hii dunia ione hivi hivi
Asiyeamini baada ya kusema kuwa PSU Wanaorogana sana hana Akili au Mwendawazimu kabisa.
 
Igweee... wakati Mh Rais akihutubia majaji na viongozi kulitokea tukio la ajabu sana nyuma ya Rais na kwa wale waduvi wa mambo tumesema sio mbaya kuwafungua macho.
Wale wanakaa nyuma ya Rais wanawakilisha vyombo viwili vya kiusalama vyenye nguvu ktk jamuhuri yetu.
Mjeshi ana simama kama alama jeshi lipo nyuma ya Rais na Rais ndio Amiri jeshi mkuu while yule wa masuti anasimama lama ishara idara na viunga vyakevipo nyuma ya Rais na yeye ndie mwana idara namba moja. Okay..
kilicho tokea inaonyesha mwana usalama akitetemeka na hata kutaka kuanguka mbele ya mh Rais hii sio ishara nzuri ndani ya idara... na nitafafanua ktk jicho la tatu sio kisiasa na wala hili lisihusishwe hivyo.. nataka tu wasaidia wale wapo kwenye mamlaka...
1. Idara ipo kwenye mtu kati ila jeshi lipo imara.
2. Uwenda huko mbeleni kukatokea mvurugano ndani ya idara ila uwenda tukajuwa ama tusijuwe ila itakuwa ni moto
3. Upo uwezekano mkubwa mnyukano huwo ukasumbuwa jamuhuri ila jeshi litabaki kuwa imara kama back up.
4. Upo uwezekano idara ikawa haikuona vile kesho ya Tz itakuwa na hivyo kuzuwa maluwe luwe na mabadiliko makubwa ndani ya idara ila chini ya idara za kijeshi
5. Upo uwezekano viumbe visivyo onekana vilifika pale mbele na kivikaona mtu yupo mwepesi ni yule mwana idara na kwa miiko ya idara pombe,manaume ama kula vitu hakuruhusiwa au vuka miiko yaina yoyote ya idara...
6. Kupoteza maana kubwa ya tukio kwa sababu tusizo zijuwa ama kuzijuwa...
Mwisho nani anakumbuka kipindi cha Magufuli nani alianguka au pata maluwe luwe kama haya... stay tune


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ce1NanLQUxA
 
Mimi kilicho nisikitisha ni kuona yule mpambe wa raisi licha ya kuambiwa mapema na yule mwanasualama aliyeishiwa nguvu kwamba hajisikii vizuri naona hakutake any action kwa haraka.

Nikirudi kwa mwanausalama na wenzake.

Channel ya mawasiliano yao ili ifanye transimision ya data/info kutoka upande mmoja hafi mwingine.. Ni mpaka wabonyeze sehemu manually? Si ingetosha tu kupata taarifa mwanzoni kabisa alipo anza kuongea na kupoteza focus kabla ya kuchelewa ku take action kwa muda wote ule?

Wajuzi wa mambo ufafanuzi tafadhali
 
Kweli tuna hitaji katiba mpya . Yaani mtu anaamini katiba ni kijitabu tu. Halafu huyo huyo katiba inampa madaraka ya kuteuwa majaji, na kutenguwa majaji. Halafu wananchi wanatakiwa kuwa na imani na mahakama?
Nani aliyekuambia anaweza kutengua majaji? Anaweza kuteua lakini siyo kutengua
 
Ila nyie watoto bana.

Haha
 
Kupendeleana huko .kuna watu wako fit wananyimwa nafasi

Aliyempa hiyo nafasi na waliofanya vetting wawajibishwe
Hapana nae binadamu jamani pengine Usk hakulalala hasa ukienda sehemu za mikoani ulinz mgumu kweli kweli kuliko makao makuu
 
Kwa tarehe hizi, wanawake wengi wanakua kwenye P na inatokeaga kwa wengi kupata Kizunguzungu( SYNCOPE) kutokana na kubleed sana. Ndio uanamke. Otherwise kazi anaiweza na anaifanya vizuri. Protocol wajitahidi tuu kwa mdada akiwa P asiruhusiwe kusimama Muda mrefu. Tulinde afya za Wanajeshi wetu.
 
Yule wa ghana nae alikuwa anaingia P? Watu ambao hawajaenda shule bhana🀣
 
Kuna watu ma genius ila ww ni miongoni mwao yaani wengi wanaongelea kuhusu huyu mdada ila wewe ukaona hata sisi photographer tuna pongezi zetu mkuu daah shukrani sana najikuta nafurahi mno kwa kutupa vyeo vyetu....
Yaan mtu afiche habari anapongezwa na anafurahia. Kweli waliosema uhuru una minyau nawaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…