komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Iko nyingine. Sio hii. Hata hivyo kudondoka hakuna cha mafunzo au utimamu wa mwili.Huyo hakuwa mlinzi (Bodyguard)wa Prince charles alikuwa royal guard alidondoka kwenye parade.
View attachment 3294299
Inaonekana alianza kufanya mawasiliano mapema na wenzake ila wamechelewa kureact.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Juzi tu, kwenye mazishi ya President Jimmy Carter, askari mmoja wa US alidondoka!Leta mlinzi wa Israel na nchi inayojitambua ndiyo nitakuelewa ndugu yangu
Khadija AmmeHapa kuna mengi ya kuyaongelea ila acha watoto wawahi shule ugali ufike mezani na familia iendelee kuneemeka huku kazi ikiendelea kufanyika hata kwa kukosa usingizi bila kulala, afya ni changamoto ya kila mtu sio suala la kumlaumu yeeye km yeeye askari huenda hii siku ya leo afya yake haikua sawa labda hakuweza kulala na hapo bado akapewa nafasi akasimame nyuma ya rais, all in all huo ndio uaskari ni amri ndio maana akamtonya mpambe wa rais kwamba naenda chini fanya jambo washtue wengine naanguka, salute mingi 🫡 kwake ingawa sijui anaitwa nani
Acha watu na taaluma zao .. dhumuni la shughuli nzima ilikuwa ni nini ?! watu hawajichukulii tu picha .. mkiambiwa mwende veta mishipa ya shingo inawasimamaWeledi ni kuficha uhalisia?
Kabisa.Daah,maisha haya... nadhani mwili ulipata ganzi... wanawake na period hizi...angeweka wababa tu eti?
Pole Sana kwake..Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Kweli alianza kupambana muda kabla ya kuelemewa lakini bado hakutaka aanguke ghafla 🙏Mungu amsimamie apate nafuu.
Anaonekana binti anayeipenda sana kazi yake. Alijitahidi kupambana ila changamoto ya kiafya ikamshida nguvu.
Kweli kabisa 🙌Ni mambo ya kawaida kwa binadamu, majukumu yake ya kusimama mda mrefu, huenda kuna wakati pressure inashuka ghafla hivyo kusababisha ubongo kukosa oxygen ya kutosha.
Anaweza kupata hali hiyo mtu yoyote. Pole yake.
Uko sahihi DrKitaalamu hii hali ya kudondoka ghafla inaweza kusababishwa na:
-sukari kushuka (hypoglycemia)
-presha ya damu kushuka (hasa kwa mtu anayesimama kwa muda mrefu au kusimama ghafla: orthostatic hypotension)
-matumizi ya aina fulani za dawa
-upungufu wa maji mwilini (dehydration)
-hali ya kihisia mfano hasira, maumivu, uchovu nk
-maradhi mengine kama vile matatizo ya moyo nk
Situlikubaliana 50/50..Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Hao wanaume wamewahi kudondoka wengi tu. Ghana, UK, USA, Kenya nk, nao utasemaje.Mnajitetea sana,ila Kila penye jinsia hiyo,kwenye taasisi za umma,ni shida kubwa.
Bora mmeona mwenyewe!
Kubeba zege kama MtibeliMmeanza kuchoka mapema hivyo na bado hamjafikia kukimbiza mkokoteni kifua wazi?
Umenikumbusha jambo.... au basi ngoja ninyamaze.Sio jambo geni kwa askari mwenye mafunzo km umepitia kwata na ukapigishwa kwata kweli najua mtiti unaujua kwa hio hilo kwa maaskari sio jambo la ajabu sana linatokea wengine wanazimia kabisa wanabwebwa na machela kwata linaendelea hakuna kupunzika mwendo mpelampela kwa hio maaskari wanajua hilo ni jambo lipo kwa kila askari kikubwa afya afya ikiyumba tu askari inabidi apunguziwe mzigo wa kazi lasivyo mtamuua
Hakuna cha Israel au nchi ya Mars hata Jupiter. Mtu ni mtu. Waisraeli ni binadamu wenye nyama na damu na mifupa kama wengine.Leta mlinzi wa Israel na nchi inayojitambua ndiyo nitakuelewa ndugu yangu
Yule mlinzi alianza kuonekana hayuko sawa, nilitegemea ma cameraman wa ikulu wangeanza kuligundua mwanzo kabisa na kuwapa taarifa wenzao sababu probably lazima watakuwa ni watu wa usalama,TEAM NZIMA YA MA - BODYGUARD WAKISOMA LUGHA YA MWILI WA KILA ALIYE KARIBU NA RAIS OBAMA
Umakini wa mawasiliano siri kukitokea changamoto, rais Obama apelekewa ujumbe siri ofisa kuwa nyuma yake mwanamama lugha ya mwili wake anaonekana hayupo sawa, rais Obama anageuka
View: https://m.youtube.com/watch?v=CbSFw7NTneQ
Umakini na teamwork (ufanyaji kazi kama timu) uliweza kugundua lugha ya mwili (body language) ya kiwingu cha watu walio jirani ya rais na hatua zikachukuliwa kwa spidi kubwa ..