Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Tufafanulie mkuu ww uliyeelewa ili na sisi tuelewe kama wewe.Watu wengi mnasoma juu juu hicho kitabu.Hicho kitabu sio kizuri kwa watoto !Watanzania ndio maana hata mnasainishwa mikataba ya ajabu hamsomi kuelewa maana mnasoma kumaliza!
Nisamehe kama nimekukwaza.hata kwako unafanywa mbona unapika kelele sana. Unaujua ndiyo maana unapiga kelel sana. wewe mambo ya chumbani yanakuhusu nini> Nakwambia pwani mna tabia hiyo (najua mtatukana)
Soma content: "He wore a pink dress" toka lini Mwanaume avae gauni la pink?? Huyu anaeneza UshogaHapo kuna ushoga gani
Kwani joti havaagi magauni? Issue ni kuvaa gauni Kwa muktadha upi labda kavaa kachanganyikiwa ,anaigiza ,mwizi, jasusi etc so content ya hicho kitabu ni ushoga kweli au?Soma content: "He wore a pink dress" toka lini Mwanaume avae gauni la pink?? Huyu anaeneza Ushoga
Uongoneno shoga linawajumuisha wote ,,,,,,wasagaji na wale wa kuliwa kota
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo ni hamnazoo.Stupid hamwezi kupambania sukari ya 6000 Tsh a kilo mnapambania upuuzi ambao hauna hicho mnachokisema
Ndio maana nasema Msiwe mnapeleka watoto wenu shule za English Mediums. Kuna ushetani mwingi sana umeandikwa kwa lugha ya kiingereza. Nyerere hakuwa mjinga kuweka mfumo watoto waanze kiingereza wakifika form one.Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2889864
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Wakifirimbwa familia yako na wewe inatosha mkuu... Tumekuelewa.Ushoga? Duh! Watu wameingiwa na wasiwasi kiasi kwamba kila kitu wanaona ni ushoga tu, sasa huyo mwanamke na ushoga wapi na wapi, si wangesema usagaji? Huu ushoga unapewa promo sana hata pasipokuwa na uwepo wa jambo hilo
Hamtaki ujinga akati mnawategemea wao kwa kila kitu.Potelea mbali,hawa Wazungu ni kuwasagia kunguni tu,wajue Waafrika tumechafukwa hatutaki ujinga.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Na wao wata waadabisha afu mtaona nani ana nguvu, muulize Jpm na Makonda wake, watakupa majibu mujarabuu.Nakumbuka hivyo vitabu vilipigwa marufuku Mwaka Jana, nadhani ilikuwa Mwezi March hivi.
Kuna kikao tulifanya na PM - Majaliwa nakumbuka ndiyo alitoa maelekezo ya Serikali kuhusu hili swala.
Kama hao washenzi wanaendelea na hizo nia zao ovu za kueneza ushoga nashauri Sheria Kali zitumike kuwaadabisha
Hao watoto wenu muwalinde kwenu, yaan mtu asijiachie kisa mtoto wako? Km huwezi kumlea mwanao ni tatizo lako.Nimewapenda sana hao wananchi..tukiungana hivi na kuonyesha kukataa huu upuuzi watu watanyooka na hivyo vitendo vitapungua au kufanywa kw siri kubwa sio kama hivi sasa mi watu inajiachia tuu na kuonyesha picha mbaya kwa watoto
Mashoga kila leo wanakuja upya mtaani, lakini huku mitandaoni sasa hizo kelele za kupinga had unashangaa.
Mitandaoni humu watanzania tunauchukia sana ushoga na kila mtu anajitenga nao na kuulaani, lakini nashangaa kitu kimoja.
Ni kwanini bado kesi za kulawitiwa watoto wadogo zinaendelea kushika kasi na tena wanalawitiwa na watanzania na sio wazungu?
Bado pia watu wanashiriki ngono na wanawake kinyume na maumbile wameongezeka na imekuwa ndio habari ya mjini.
Hivi ni kweli tunauchukia ushoga au kuna wenzetu humu mitandaoni wanatuzuga?
Huoni kuna watu humu wanatetea upuuzi huo, hao ndio malaanakum wenyewe
Mitandaoni humu watanzania tunauchukia sana ushoga na kila mtu anajitenga nao na kuulaani, lakini nashangaa kitu kimoja.
Ni kwanini bado kesi za kulawitiwa watoto wadogo zinaendelea kushika kasi na tena wanalawitiwa na watanzania na sio wazungu?
Bado pia watu wanashiriki ngono na wanawake kinyume na maumbile wameongezeka na imekuwa ndio habari ya mjini.
Hivi ni kweli tunauchukia ushoga au kuna wenzetu humu mitandaoni wanatuzuga?