Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Ila kumbe watu wengi ni mbumbumbu akiwepo mleta mada,

Hivi Nape ni wa chama gani? Si ccm?
 
Hivi Wew na nape ni nani jina lake lipo kwenye kitabu cha Ccm au ndo mahaba ya Ccm yamezidi kumzidi nape? [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Si ndy afanye kazi kuvamia na kuteka watu?ndy nimekwambiya ukiona swala anaringa mbugani simba na chui ndugu zake..
 
Hahahaa una uchungu gani na Magufuli kiasi cha kumshauri na kumshitua?
Hizo gagari za Nape tushazizoea.Tuliona kwa Mrema,Chenge,Tibaijuka na Lowassa,Baada ya hapo maisha yanaendelea tu
CCM ni kubwa sana kuliko Nape
 

Kura za walliokaa meza kuu ni chache sana kulinganisha na wale waliokuwa wanamshangilia. Nape ni shujaa. Huko luthuli ni mahasira kwa kwenda mbele. Poleni.
 
Safari moja huanzisha nyingine
Aliwasahau kabisa wananchi wake kwaajili ya kuwatumikia watawala badala ya wananchi
 
Mwache aendelee kutapa tapa.hatutaki urafiki kwwnye kazi.tunajua analo linalomuumiza.ila atafanya nini?karma inMuunguza
 
Nimependa ile ya kukanyaga kwenye masa..ri ya akina mama!
I wish i cud be nape
 
Bashite huwezi kuyaelewa maono ya mleta uzi, kwani meza kuu ilikuwa na watu wengi zaidi ya hadhara nzima? Msome tena utamuelewa, aidha kazeni shingo muone kama haitavunjika!. Mufa utaongea.
 


Acha propaganda za kijinga, watanzania wengi wanampenda Magufuli, ulizia tu haswa huko mikoani maana anayoyafanya yanaonekana. Jiulize, rais gani umjuaye wewe ali-dare kutumbua mawaziri wasiojuwa wajibu wao? Alama za nyakati huko mikoani zinaonyesha Magufuli yuko juu sana. Wengi ya walalamikaji ni wababaishaji na wasiojitambua.
 
Mkuu mm nilikuwepo kwenye mkutano furaha ya watu wa meza kuu ilieleza mengi sana
 
Huyo halilii madaraka,anauchungu namna alivyotendewa na mwenyekiti wa chama ..Hasa alipokumbuka nikiasi gani alipigania chama chake uchaguzi ulo pita 2015.. mungu akutangulie Nape..Umepigana vilivyo..Tunaojua ulifanya yaliyo makuu kwa kusimamia haki..Tuna sema you are a hero..God protect you....
 
nafurahi sana kuona Nape anaungua kwenye maji aliyoyachemsha mwenyewe kwa kutumia kuni za wizi kutoka nyumba ya jirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…