ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Inaonekana waliouwawa ni wengi sana kuliko tulivyoambiwa ni kama watu 3000.Yalifanyika ni mauaji ya kimbari (genocide).
Moyo wake hauna furaha, ni uzuni muda wote na dhambi ya mauaji amejibebea pamoja na walioko chini yake.
Polisiccm wameua watu wengi ICC inawahusuInaonekana waliouwawa ni wengi sana kuliko tulivyoambiwa ni kama watu 3000.
Duh,haya bwana!
Kila mwaka CAG anaonesha madudu watu wamepiga pesa ndefu tu zinazopelekea huduma duni kwa watanzania,mbona hao huwa hamuwauwi?Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Kama anakosekana hata mtu mmoja wa kuanza kwa kumpiga risasi za kichwa Samia nitaona uhai wa Mtanzania hauna thamani kabisa.Hii mbona ain't even a quarter of what they demonstrated huku kwetu, ndio chanzo cha frank (jwtz dropout kukubali kufa ili atungue wale askari walio kuwa waki shambulia pale barabarani)
Kiranga na Mayor Quimby
Uhuru Kenyatta na Ruto walipelekwa ICC kwa kuua watu 700. Samia na genge lake wameua watu wengi sana na kuna ushahidi mwingi.Polisiccm wameua watu wengi ICC inawahusu
Kwa nini wengi wao wanafurahi kilichotokea?Usihusishe uislamu na ugaidi, hususan kwenye hili janga lililotokea.
Waislamu ni sehemu ya victims kwenye hili na wengi hata ambao sio wahanga wameumia.
Ushahidi ndo wameshapoteza kwa kuwazika watu kwenye makaburi ya halaiki.Huu mtaa ninaoishi ni kitovu cha biashara, na hakuna hata mmoja aliyeibiwa. Walioibiwa ni wachache Ila waliokufa ni wengi.
Polisi watoe ushahidi kwamba wote waliokufa Kwa kupigwa risasi ni vibaka na siyo waandamanaji.
Samia ndio kawaponza nyinyi maana aliwaambia hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi ila mwisho wa siku kilichotokea ni kwamba si tu mali zenu kuharibiwa bali akaamuru polisi wauwe kila wanaemkuta mbele yao bila kujali ni kibaka au chawa wa Samia.Kwa wizi na uharibifu wa mali uliofanywa hamna namna nyingine zaidi ya kwenda nao kikatili hivyohivyo, maana nyie vibaka mmesababishia familia nyingi umasikini, na mkawa mnafanya uhalifu huku mnacheka , mngeachiwa hadi leo mngekua mmegusa mali ya kila mtu.
Ila mnayataka maana masheikh wananunua vita ya Samia kana kwamba Samia ni kiongozi wa waislamu na kuna waislamu wengi tu huona wenye kumpinga Samia ni kwa sababu ni muislamu.Muache ahusishe, huenda chuki dhidi ya uislam ndiyo catalyst yake
We ulifikiri sababu ni nini?..hizi chokochoko zimejijenga taratibu zikihanikizwa na matamko ya TECIla mnayataka maana masheikh wananunua vita ya Samia kana kwamba Samia ni kiongozi wa waislamu na kuna waislamu wengi tu huona wenye kumpinga Samia ni kwa sababu ni muislamu.
Kabla ya kufika zamu yake utaanza wewe kwanza shithole mkubwa. Mvamie mali za watu eti wawaangalie tu!!Wee **** zamu yako itafika ni swala la muda tuu
Hamna mtu mwenye akili huko mbogamboga! Na kama wapo hawasikilizwi.Duh..hii ni hatari sana IGP achana na huu ujinga unazidi kumuharibia rais na hizi clips zinawez kutumika kama ushahidi huko nje..tumieni akili kidogo basi.
Wazanzibar 56=watanganyika 3500+, style tofauti na hiiHivi huo mwaka walikufa wazanzibari wangapi? Na style ilikua hii hii ya mtaa kwa mtaa?
Inabidi wafe watanganyika wangapi ili wazanzibar roho zao zisuuzike?Wazanzibar 56=watanganyika 3500+, style tofauti na hii
Wee makende ndio sababu mauaji na utekaji yanatokea, una support upuuzi ambao hautakuacha salama wewe na familia yako, ujinga mzigo ***** zakoKabla ya kufika zamu yake utaanza wewe kwanza shithole mkubwa. Mvamie mali za watu eti wawaangalie tu!!
Huu ndio upumbav uliowajaa vichwani nyie mambumbumbu msiokuwa na elimu yoyote ya kiraia na kujua dunia ya kistaarabu inaendaje.Mkuu, hivi ndivyo ilivyo kwa watanganyika walio wengi. Hii vita sio ya uchaguzi wala Chadema wala CCM. Hii ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu.
Kwakuwa Rais Samia ni muislamu na mzanzibari.
Period.