Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 730
- 1,848
Toa hiyo picha ya Martin Luther King Jr.Mliambiwa mapema hayo mambo ya kuandamana achaneni nayo, mkaona mnaogopwa sana, mkaamua kuandamana na kufanya uhalifu. Mtoto akililia wembe mpe.
Yaani mtu kaua ,anafanya ubadhirifu watu wanasema anachukiwa kisa Muislam?Kaahhh...Kibri chote kile jamani bado wanadai anaonewa...miye wananikera hasaaa...Ila mnayataka maana masheikh wananunua vita ya Samia kana kwamba Samia ni kiongozi wa waislamu na kuna waislamu wengi tu huona wenye kumpinga Samia ni kwa sababu ni muislamu.
Ndio nashangaa Samia ana uislamu gani wa kufanya watu wamchukie? Hakuna chochote kwanza anachofanya chenye manufaa kwa waislamu sasa nashangaa hawa waislamu wenye kumtetea yani kisa ana jina la kiarabu na kuvaa ushungi.
Hakuna Mungu.Hali inatisha Sana ! Nchi imejaa laana na kunuka damu za wasiokuwa na hatia, katika hili siamini kuwa kila mamlaka imetoka Kwa MUNGU, na kama MUNGU kweli ameyaruhusu haya basi Imani yangu inaanza kuporomoka...
Sijui hata wana akili ya aina gani? Wao wamchukue na kumpa uongozi kwenye uislamu hawatoona watu wakimkosoa ila sio unakuwa kiongozi wa nchi halafu watake asikosolewe kisa ni muislamu.W
Yaani mtu kaua ,anafanya ubadhirifu watu wanasema anachukiwa kisa Muislam?Kaahhh...Kibri chote kile jamani bado wanadai anaonewa...miye wananikera hasaaa...
Hivi Samia anapingwa kwa lipi?.. upinzani ulianza lini kama siyo 2023 kumpa mwarabu bandari awekeze?Mara Tec mara Mangekimambi, huyu Samia alipoingia madarakani mwanzoni watu wengi walikuwa na matumaini nae akiwemo na huyo Mange,hakukuwa na issue ya uislamu wala uzanzibari.
Alikuwa anapingwa Magufuli na makanisa yalikuwa yanatoa matamko kukosoa utawala wa Magufuli na yakapangwa hadi maandamano na huyo Mange alikuwa kinara kuchochea hayo maandamano ila ajabu kwa Samia inaonekana kisa et uislamu wake.
Sasa huyo Samia ana uislamu gani au Huo wa kuvaa shungi? Mnatutia aibu tu waislamu mnateta upuuzi na hoja za kipuuza. Samia sio kiongozi wa uislamu na wala hana manufaa yeyote kwa waislamu wa Tanzania.
Kwahiyo wewe kama muislamu unamtetea Samia kwa sababu aliwapa Bandari waarabu wawekeze na hilo linakufanya uone waliyopinga hilo jambo sio waislamu kwa maana muislamu hawezi kupinga muarabu kupewa bandari awekeze?Hivi Samia anapingwa kwa lipi?.. upinzani ulianza lini kama siyo 2023 kumpa mwarabu bandari awekeze?
Hunijui wala sikujui, umejuaje kiwango changu cha elimu.Huu ndio upumbav uliowajaa vichwani nyie mambumbumbu msiokuwa na elimu yoyote ya kiraia na kujua dunia ya kistaarabu inaendaje.
Yaani nyie wapumbav kwa upofu wenu wa kidini hamuoni kabisa ubadhirifu,ufisadi,uminywaji,utekaji na ukosefu wa haki kama ndio sababu za msingi zinazoamsha hasira za watu dhidi ya utawala wa shetani wenu samia?
Yaan nyie kwa makusidi na mihemko yenu ya kidini mnalazimisha sana ionekane eti muuaji samia anapingwa na watanzania kwa sababu ya uislamu wake? Wapumbav sana nyie.
Yaani ni kama vile mnaandaa mazingira ya kujustify vita vya kidini ambavyo baadhi yenu mnatamani vitokee wajinga nyie.
Kwa taarifa yako tu huyu shetan wenu samia anachukiwa na waislamu kibao tu maana karibu kila mtu ni muhanga wa serikali yake dhalimu ukiwemo wewe, ila kwa sababu wewe ni mbungira huna elimu wala maarifa hauwezi ukalitambua hilo, wewe upo kusifia na kumtetea tu kisa ni muislam mwenzio kama tahira tu.
Kama atatoboa 2025 sijuiUjumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi walikua wanapita kila nyumba kuvunja milango kutafuta vijana wa kiume tuh. Yani kila nyumba wanavunja Milango wanawatoa wanaume kama unabahati unapigika na wanaondoka na wewe kwenda kituoni, vijana wengi wamefia kituo cha polisi, wenye bahati mbaya zaidi walikuwa wanapigwa risasi hapo hapo kwenye majumba yao. Askari wenye kiswahili cha bongo walikuwa wanapiga na kubeba vijana lakini wenye kuongea kama Kizanzibari walikuwa wanaua hapo hapo tena wanahakikisha ni risasi ya kichwa au kifua."
Hivi unadhani chuki, hasira na jazba za wananchi kufanya vile ilikuja tu from no where au kulikuwa na reason behind ya haya yote?Mkiwaambia ukweli utawasaidia, mkiendelea kuwaongopea mtawaangamiza, yale hayakuwa maandamano ya amani. Ule ulikuwa ni uhalifu uliyojificha kwenye maandamano ya amani.
Asante internet, hawa mbwa watalipa kuanzia sasaUjumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi walikua wanapita kila nyumba kuvunja milango kutafuta vijana wa kiume tuh. Yani kila nyumba wanavunja Milango wanawatoa wanaume kama unabahati unapigika na wanaondoka na wewe kwenda kituoni, vijana wengi wamefia kituo cha polisi, wenye bahati mbaya zaidi walikuwa wanapigwa risasi hapo hapo kwenye majumba yao. Askari wenye kiswahili cha bongo walikuwa wanapiga na kubeba vijana lakini wenye kuongea kama Kizanzibari walikuwa wanaua hapo hapo tena wanahakikisha ni risasi ya kichwa au kifua."
Kama ingekuwa hivyo Magufuli kile kipindi chake waliongoza kumpinga ni wakristo Kama unakumbukumbu vizuri, kanisa la kikatoriki lilikuwa linatoa waraka mbalimbali za kumpinga Magufuli pia hata kabisa la kilutheri nalo lilikuwa linampiga nondoKwasababu Rais ni muislamu na mzanzibari.
Huo ndio ukweli, kubali au kataa.
Mbona hata kipindi cha Magufuli TEC walikuwa wanatoa matamko na si matamko pekee mpaka waraka kumpinga Magufuli na ni mkristo mwenzao sio tu hao pekee mpaka Walutheri na wachungaji tofauti tofauti Mzee wa Upako, Kakobe n.k walikuwa wanamshambulia Magu mdada mrembo hili sio suala la udini hapa tunazungumza maisha ya watuWe ulifikiri sababu ni nini?..hizi chokochoko zimejijenga taratibu zikihanikizwa na matamko ya TEC
Humu jf Kuna viraza, machawa wa mafisadi(waliojilaani Kwa damu za raiaUshahidi ndo wameshapoteza kwa kuwazika watu kwenye makaburi ya halaiki.
Serikali ya sa100 imejilaani Kwa damu ya Wadai hakiUshahidi ndo wameshapoteza kwa kuwazika watu kwenye makaburi ya halaiki.
Polisiccm sasa wanaenda huko majumbani kuwaua na kuwakamata wapate Rushwa sasa wanatumia fursa hii kuwakoa watu uonevu umeongezeka kwa kubwaYawezekana wengi waliouwawa hawakufia kwenye maandamano ni either walikaidi curfew wakakutana na jamaa!
Hebu lete hayo matamko ya TEC kumpinga magu,magu aliachana na exim bank china kujenga sgr kwa riba ya 2% akaingia mkataba na waturuki riba 10%, TEC walitoa tamko kupinga?Mbona hata kipindi cha Magufuli TEC walikuwa wanatoa matamko na si matamko pekee mpaka waraka kumpinga Magufuli na ni mkristo mwenzao sio tu hao pekee mpaka Walutheri na wachungaji tofauti tofauti Mzee wa Upako, Kakobe n.k walikuwa wanamshambulia Magu mdada mrembo hili sio suala la udini hapa tunazungumza maisha ya watu
Walikuwa wezi na waharibifu video tumeona, walichokipata walikitafuta. Usionee huruma mtu wa hivyo. Wengine wajifunze, hili siyo Taifa la kihuni.Sasa niffer kafanya kosa gani? Issue ilikua easy CCM ingekubali reforms...
Siungi mkono violence ila kilicho fanyika ni crimes against humanity huwezi mimina ma risasi kama HAYAWANI kuua Kila mtu mbele Yako tena watu wasio na hatia.