Kwani sehemu zisizo na mwendokasi Polisi wanafanyaje kazi?Kwa hali hii panya road watatuua mwaka huu kama raia ataki polisi wafanye kazi zao kwa haraka afu panya road wakiuwa watu na kupora watu mnalalamikia polisi tena
Eeh mungu wabariki hawa wabongo na vichwa vyao vibovu
Ngoja tutaona mengiKwani sehemu zisizo na mwendokasi Polisi wanafanyaje kazi?
Unajua wakiachwa wapite kila mtu atasema ana dharura wakati sio kweli
Mwamba wewe ndio unawadharau. Polisi ni mfano wa raia wema. Acha kuamini ubabe.Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
Hata polisi au Wanajeshi wakiwa na jambo la dharura wana miongozo yao pia ikiwemo special signs and alerts of dangersKwa mtazamo wangu wenye zile special number deserve kupita popote including mwendo kasi - fire, ambulance, and police.
Wengine wanatakiwa kufuata taratibu hawako juu ya sheria au kwamba wao ni muhimu kuliko wananchi wengine.
Umesoma walaka tamko la Polisi?hao watu wa mwendokasi wamekosea huwezi kuzuia watu wa usalama kupita wao wakipata shida nani atawasaidia
Safi sana nimelipenda mno hilo ONYO kali maana ma vx na magari mengine ya serikali pamoja na majaji na viongozi wengine walishaifanya ile ndio njia kuu.
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?
Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona...
Acha aibu basi? Hujasoma hata tangazo la polisi kulaani kitendo cha askari wao kulazimisha kupitia mwendo kasi?Huyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa
JWTZ walivyoona kuna zuio hata hawakuhangaika kwenda kuweka league pale wakachepuka zao njia ya kawaida, tutakakaa wote foleni jamaa zako polisi ndo hao uliwaona hapo.Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
hapana, sie kutwa tunalaumu polisi hawaji kwenye matukio ya uhalifu kwa muda sahihi, Sasa hapo ukute walikuwa wanawai kwenye tukio la uhalifuAcha aibu basi? Hujasoma hata tangazo la polisi kulaani kitendo cha askari wao kulazimisha kupitia mwendo kasi?
Soma hapoHuyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa au alikuwa anataka sifa, Hawa kikosi Cha Askari wa Field Force unit...
Hayo ni mawazo yako.hapana, sie kutwa tunalaumu polisi hawaji kwenye matukio ya uhalifu kwa muda sahihi, Sasa hapo ukute walikuwa wanawai kwenye tukio la uhalifu
kwahiyo Bora wang'ang'ane kwenye foleni wakati huo wanataka kuwai kudhibiti panyarodi wanacharanga watu mapanga tandale kwa tumbo!! Kwa mfanoHairuhusiwi labda ile ya kubeba wagonjwa
waache kutafuta sababu isiyo na msingi hao wamekosea full stoPkwahiyo Bora wang'ang'ane kwenye foleni wakati huo wanataka kuwai kudhibiti panyarodi wanacharanga watu mapanga tandale kwa tumbo!! Kwa mfano