Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Kwa hali hii panya road watatuua mwaka huu kama raia ataki polisi wafanye kazi zao kwa haraka afu panya road wakiuwa watu na kupora watu mnalalamikia polisi tena
Eeh mungu wabariki hawa wabongo na vichwa vyao vibovu
Kwani sehemu zisizo na mwendokasi Polisi wanafanyaje kazi?

Unajua wakiachwa wapite kila mtu atasema ana dharura wakati sio kweli
 
Kwa mtazamo wangu wenye zile special number deserve kupita popote including mwendo kasi - fire, ambulance, and police.

Wengine wanatakiwa kufuata taratibu hawako juu ya sheria au kwamba wao ni muhimu kuliko wananchi wengine.
Hata polisi au Wanajeshi wakiwa na jambo la dharura wana miongozo yao pia ikiwemo special signs and alerts of dangers
 
Mie siamini kama panya road wamewashinda polisi ila sema raia mda mwingne tunazingu,jana tu mtu kauwawa na panya road leo unazuia polisi tena kuonyesha unajua sana kuliko wao kama unaubabe sana kapambane na panya road sio kuonyesha ubabe wa kishamba.

Kwani hao polisi wameanza leo kupita hapo mwendo kasi
 

Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?

Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona...
Safi sana nimelipenda mno hilo ONYO kali maana ma vx na magari mengine ya serikali pamoja na majaji na viongozi wengine walishaifanya ile ndio njia kuu.

Penye dharura ya moto (fire ) na ugonjwa (ambulance) nk itajulikana tuu na hekima itatumika.

Tukio la jana ni la kupongezwa mno maana mvua imenyesha palipovuja pameonekana.. Wafanyakazi wale wa mwendokasi ni wa kupongezwa mno
 
Huyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa au alikuwa anataka sifa, Hawa kikosi Cha Askari wa Field Force unit Mara nyingi hawana tabu,na ukiona wamejazana hivyo kwenye gari zao ujue wanawai tukio sehemu, au wanaenda kwenye lindo either hata Ikulu, na kingine sasaivi Kuna oparation ya panyarodi usikute wanaenda kuwakamata sehemu,

Mimi nashauri huyo mlinzi wa barabara za mwendokasi atiwe adabu hili hawe na nidhamu, tofauti na hapo Wengine nao wataiga huo ujinga na dharau
 

Attachments

  • Polisi wakilazimisha kupita kwenye njia ya mabasi yaendayo haraka mwendo kasi, .mp4
    1 MB
Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
JWTZ walivyoona kuna zuio hata hawakuhangaika kwenda kuweka league pale wakachepuka zao njia ya kawaida, tutakakaa wote foleni jamaa zako polisi ndo hao uliwaona hapo.
 
Acha aibu basi? Hujasoma hata tangazo la polisi kulaani kitendo cha askari wao kulazimisha kupitia mwendo kasi?
hapana, sie kutwa tunalaumu polisi hawaji kwenye matukio ya uhalifu kwa muda sahihi, Sasa hapo ukute walikuwa wanawai kwenye tukio la uhalifu
 
Huyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa au alikuwa anataka sifa, Hawa kikosi Cha Askari wa Field Force unit...
Soma hapo

Screenshot_20220916-070516_Instagram.jpg
 
Nafikiri matumizi ya hiyo barabara ya nahitaji busara.
Kuna Emergency kama ambulance na vyombo vya usalama.
 
Back
Top Bottom