Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Saaana,kiingilio kilikuwa elfu mbili,na hakuna cha fungulia dog,mpaka shoo iliisha watu wanalipa elfu mbili hadi watoto,watu zaidi ya 5 au 6000 waliingia,sasa hapo mavoko atakosa milioni 1 ?lazima amepata,maana walikuwa wachache tu,hakuna maandalizi ya stage wala nini,ni uwanjani,matangazo ni mabango na kwenye gari,kwahiyo hakuna gharama kubwa ya maandalizi,pia walikiwa wasindikizaji wachache tu.Watanzanzia,tuacheni vijana wafanye kazi,mtembea bure siyo sawa na mkaa bure.
 
Wasanii wengi usione wako kimya ukajua hawapigi shoo. Wao wanapiga mikoani huko. Uko watu wana hela na msanii mmoja au wawili tu wanajaza ukumbi sio Dar unaita wasanii 30 ndio shoo inaonekana inafana.

Week iliyopita Angela alienda Njombe nikapewa taarifa amefanya vizuri sio haba. Nishawahi panda bus moja na Young D anaenda Malinyi. Nuhu Mziwanda ndio mambo yake ayo.
 
Pia ney wa mitego anafanya sana hizo,mwezi mmoja ulopita kwenye huo huo uwanja alofanya shoo mavoko ney pia alifanya shoo na alijaza sana watu,maporoni kuna hela nyingi sana wasanii wanakuja kuzichukua kimyakimya,wanahabari wanakosea sana kuwavunja moyo wasanii wetu
 
Shinyanga vijijini Ngoma za Nyanda madirisha zinapigwa kuliko hata Ngoma za rayvan na chris brown
Kanda ya ziwa wana wasanii wao. Nenda uko Silali uende vilabuni zitapigwa nyimbo masaa 2 watu wana enjoy hafu wewe usiujue ata wimbo mmoja.

Uyo Nyanda ni hatari. Video zake simple ova wame shutia kwenye simu. Yaani sijui kama ata wanatumia laki 3 kwenye video.

1000123057.jpg
 
View attachment 2741977
Jamaa anatumia mix ya malimba na firimbi tu. Nusu ya nyimbo anatumia salamu tu... Unasikia madehewa nyalombo ngw'ainoko... Yashimba...
Mara malimba tuliluliluuuu
 
Madogo wa mikoani bana [emoji23][emoji23]

Kuna mwenzio alikuwa anawapiga fix wenzake eti nature ana mashamba ya korosho mafuso na daladala kibao mjini. Kibla anakunywa sana barimi mix kisungura mpululumpalala [emoji23][emoji23]
So what?
 
Back
Top Bottom