MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
matumizi mabaya ya uhuru wa kujieleza, shauri kama mzalendo nini kifanyike kuwa na free and fair election au umeridhika na huu mfumoLissu aliongea kauli hatari sana kwa usalama wa nchi. Kuzuia uchaguzi na kukinukisha ni kauli za hovyo. Cha muhimu hapo serikali iandae mashahidi 60 ambao kwa mwaka watasikilizwa watatu tu... akifikiwa shahidi wa 25, DPP aseme hana nia ya kuendelea na kesi.. atakuwa kashajifunza.
Wamempa TAL ushindi dakika za mwanzoni kabisa shughuli ndio imeisha hapo Mahakamani ndio nyumbani kwake kesi wataikimbia wao wenyewe ni sawa nakumpeleka mwanajeshi vitani ukadhani unamkomoaView attachment 3299123
View attachment 3299131
View attachment 3299132
View attachment 3299139
View attachment 3299140
View attachment 3299141
Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi
- Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48
- Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
We chawa lala reform katika uchaguzi ndo kuvuruga amani mwaka huu hamchomoki , ufanye mambo ya kijinga alafu ujifiche kwenye kichaka cha amani.Hakuna chuki yoyote Mwalimu Nyerere hakucheka na watu,wanaotaka kuvuruga amani.Aulize kina Bibi Titi Mohammed,Kambona,Kasimu Hanga,Abdallah,kina Sheikh Taqadir,na wale waloteka Air Tanzania,waliishia wapi.Mwalimu alikuwa hacheki na wavunja amani ya nchi.
Hapo Kenya,wandamaji walipigwa risasi,maandamano na vurugu mara tatu,na wengine kuwekwa ndani.Ruto bado yuko madarakani.Huko Uganda,Besigie anakula mkong'oto na bado Museveni yuko madarakani."Hakuna dola ambayo ilipambana na raia wake dola hiyo ikashinda" Mh. Christopher Kasanga Tumbo: (RIP)
Lisu anapaswa kuchanwa hiyo tumbo kama fuko la mavi ya tembo
Tumbo lako wenda lipo na plastic, that's unaweza ongea ujinga wa kiwango cha juu sanaLisu anapaswa kuchanwa hiyo tumbo kama fuko la mavi ya tembo
Mwenzako aogopa hata kujibu maswali polisi,na walipotaka kumkamata, aomba Polisi,wamwachie alale hapo uwanjani wasimchukuwe.Aogopa polisi sana.Wamempa TAL ushindi dakika za mwanzoni kabisa shughuli ndio imeisha hapo Mahakamani ndio nyumbani kwake kesi wataikimbia wao wenyewe ni sawa nakumpeleka mwanajeshi vitani ukadhani unamkomoa
Kila jambo lina mwisho , watazame wanavyoishi kwa wasiwasi kama NgiriHapo Kenya,wandamaji walipigwa risasi,maandamano na vurugu mara tatu,na wengine kuwekwa ndani.Ruto bado yuko madarakani.Huko Uganda,Besigie anakula mkong'oto na bado Museveni yuko madarakani.
Ni kama unavyonyoosha 1200 ununue kinywaji upooze KooBasi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Tunajua na kutambua wazi kuwa No reform no Election ni Hatari sana kwa kundi la watu waliojimilikisha JMT kwa kujificha CCMWacha anyee kwenye debe mbaaf zenu!!
Wamejaa kwenye mfumo wa kidunia bila kutojuaHii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unaonekana Mchawi bila shaka.Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto
Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
Ndoto ya jua kali.Kama alivyoota Kambona,atakuwa rais,enzi za mwalimu Nyerere.Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.
Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
EU UK USA nk wameshatuwa......Mbona siyo muda wa kazi, kulikoni
Umezoea kazi za kulalala ovyo.Huwezi kazi za kiume.Moja ya kazi za ****** nilizowahi kufanya Nchi hii ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania mwaka 1999. Kimsingi ni kama nililazimishwa TU na Mzee kwani niliingia Depo nikiwa na Elimu ya Kidato cha Nne. Nilipofanya KAZI na kuona USENGE uliopo ndani ya kazi ya Polisi niliacha kazi ndani ya masaa 4