Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Lisu uko vizuri, vizuri sana
 
Kwa nilivyomsikiliza Lissu, nihitimishe kusema, sisi wabara tunamatatizo ya kiafya ya akili
Na ukishayaelewa na kulewa hayo maneno ya Lissu, kinachofuata ni vita vya vyenyewe kwa wenyewe. Huko ndio Lissu anakotupeleka.

Sikia nikwambia, idiolojia za Lissu hazina afya kabisa katika nchi yeyote ile ya Afrika. Jirani yako ndio mtu utayefanya naye biashara kwa ustawi wa Afrika na nchi moja moja. Huwezi kujua Ethiopia waliingiaje kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe. Ni kama hizi siasa za Lissu ndio mbolea nzuri sana ya kukupeleka katika nchi ya ahadi ya Lissu.

Baada ya maelezo yake, tuchukulie kesho mmetengana, na yeye ndio Rais, hivi atakwendaje kwa jirani kuomba ujirani mwema?
 
Ni Ndondocha pekee wanaosema kwamba kumwita mtu Mzanzibar (kama katiba yao inavyosema) ni ubaguzi.. akili za kushikiwa tu hizi, sijui wamezitoa kwenye maharagwe ya wapi...
 
Uwogauwoga wa maisha umeifanya jamii kubwa ya Watanzania kuwa masikini
 
Sijawahi kuona kichwa cha kupambana na Lissu kwa hoja nchi hii, unaweza kutozikubali hoja zake ili sio rahisi au kazi nyepesi kuzipangua kwa hoja kinzani.
 
Nyerere ndio chanzo cha matatizo yote haya. Siku akitokea mzanzibari Dikteta atufanye watumwa
Saa 100 anao uwezo wa kutufanya watumwa. Watumwa kama watumwa yani tukalime na kuchapwa viboko alafu wazanzibar ndio wafaidike
 
Inashangaza sana. Yaani Lissu anatembea tu hivi hana ulinzi mkubwa kivile na kuna ambao hawapaswi kulindwa wanalindwa?

Kuna miaka itakuja watoto na wajukuu wetu watatushangaa sana. Sijui. Tutasema nini maskini. Majibu aliyopewa Fatma Karume nadhani siku nyingine atajitafakari sana. Fatma aliyavagaa, Lissu ni mtu mwenye akili sana. Kila anachokisema anakielewa. Anakifahamu.

Fatma sasa atulie tu, anaweza pata mume wa kumtuliza pia. Sisi CCM tunatamani sana Lissu na Mpina wadumu miaka mingi wamsaidie rahis kuongoza nchi.
 
Upo sahihi, Lissu anahitaji kulindwa kwa gharama zozote zile mkuu
 
Umeandika vizuri ,na mwisho ukaaribu ,Lissu ni Rais ajae ccm mpende msipende asema Bwana na siku mkilazimisha hatutaki makelele jf atashinda akipewa nafasi kwenye chama chake kama uchaguzi ukifanyika
 
Hivi Rais wa Tanzania akitokea "Tanganyika" anakuwa na uwezo wa kumiliki ardhi au kutumia mamlaka zake kwenye masuala ya ardhi Zanzibar au uraia wake unambana?

Nijuavyo mimi sheria za ardhi zinasema Rais wa Tanzania ni "Mlinzi wa ardhi ya Tanzania" sasa kama kuna sheria nyingine inambana hapo inakuwaje?
 
Siyo Mchezoo
 
Mlinde wewe hilo shoga la wazungu
 
Mimi nafikiri tumshawishi aandike Vitabu! Hii ndiyo hazina atakayokuwa amewaachia Vizazi vijavyo! Lakini vile vile tutunze Video Clip zake kwa faida ya Vizazi vijavyo.
Kwa habari ya kumlinda ni kumwachia Mwenyezi Mungu,kama alipigwa risasi 16 na mpaka leo yuko hai basi Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye. Tusiache kumwombea kwa Mwenyezi Mungu.
 
Lissu ni jasiri mkubwa nchi hii na alindwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…