Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Dah sijui nani kawafunua CDM!

Kama kuna hoja ambayo chama Kuu wanaiogopa na hawataki iongelewe ni Muungano.

Ukianisha kwa makini vipengere vya katiba ya zanzibar vinavyoonyesha namna Baraa inavyonywa katika mambo mtambuka kama mgawano wa mapato ya muungano, composition ya wabunge, uteuzi wa viongozi, ardhi, uraia n.k kuna jambo lisilo tarajiwa linaweza likatokea nchini.

Ili kuonyesha ukubwa wa tatizo na athari zake chama komavu kinapaswa kuainisha takwimu na facts kadhaa ikiwemo idadi za Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Mawaziri, wabunge, Majaji, Makatibu wakuu, RAS, DAS, DED, Wakuu wa Taasisi, na Mabalozi kutoka Zanzibar ambao wapo katika Serikali ya Jamuhuri. pia deni la serikali, mgawanyo wa fedha za mikopo, kugharamia muungano, mauzo ya umeme, mgawanyo makusanyo ya traa n.k. Ukianisha hizi takwimu na kuwaelewesha Wananchi kwa ufasaa, panaweza kuchimbika.

Kuna mwaka Mtikilaa aliitisha mkutano viwanja vya mnazi mmoja, akainisha facts za namna wahindi wanavyoinyonya bongo isivyo stahili. Umati uliokuwepo mnazi mmoja ulipandwa na ghadhabu na kuvamia maduka ya wahindi na kuanzisha ghasia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana akiendelea kuanisha facts za dosari za muungano akijikita kwenye muungano tu, anaweza kusababisha jambo la jambo nchini. Cha msingi asichochee chuki na vurugu. Amani inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote, hivyo kama kwa kuwasanua wananchi amani itatoweka basi ni bora tukaendelea kuwa kama tulivyo na tulivyokuwa.

Mungu atupiganie ili bongo nayo itoboe
jibu hoja za Lisu we akilifinyu unakimbilia tu vita
 
Justify huo ubaguzi wake..

√ Viongozi gani hao wengi walioeleza la muungano?

√ Na kama hao "viongozi wengi" kwa mujibu wako wameelezea tatizo hilo kama anavyoelezea Tundu Lissu na bado hukuwaita wabaguzi kama unavyosema, leo kimekupata nini kumwita huyu mwamba kuwa ni mbaguzi?

√ Au una confusion fulani🤔?

√ Kwa akili yako wewe, unadhani watu wanahitaji maelezo au vitendo?

Narudia tena kukuambia.

Hebu Justify hoja yako kwa uthibitisho na mifano ya ubaguzi huku ukikumbuka kuwa msingi wa matatizo ya muungano wetu ni YA KIKATIBA kila anachosema Tundu Lissu reference yake ni KATIBA ya JMT (1977) na ya ZANZIBAR (1984).. Hata Uzanzibari wa Rais Samia Suluhu Hassan unatajwa ktk katiba..

Lugha nzuri na mbadala ya kusema kuwa "Rais Samia Suluhu ni Mzanzibari" unadhani ni ipi? Hebu tufundishe na sisi tuelewe..

Ukweli upi wa ziada unaofikiri hakuusema zaidi ya ukweli wa kunukuu ibara za katiba ya JMT na Zanzibar?

Unajua kuwa hueleweki ndugu Zawadi Ngoda??

Narudia tena, acha kupayuka na kubwatuka tu kama mbwa koko..

Justify ubaguzi wake kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Tanzania na Zanzibar..!
Sina cha kukujibu, kwanza hujaelewa hoja zangu. Pili hizi lugha za mbwa...... unazoziandika, nashindwa kukutafautisha na Lissu. Au wewe ndio Lissu?
 
Hata mjinga anamuelewa Lisu.

Mwizi/Chawa peke yake ndie atakaza komwe.
 
Sina cha kukujibu, kwanza hujaelewa hoja zangu. Pili hizi lugha za mbwa...... unazoziandika, nashindwa kukutafautisha na Lissu. Au wewe ndio Lissu?
Na ni kweli huna cha kujibu na hilo nililijua toka mwanzo..

Kwa sababu toka mwanzo wewe Zawadi Ngoda ulikuwa hu - argue chochote bali ulikuwa unabweka tu kama mbwa koko ambwekaye mchana kweupe...

Hukuwa unajua na mpaka sasa hujui unatetea nini tangible kwa maslahi ya umma..!!

Kutokana na hili nikajua mahali pa kukubania, nimekupata na huna chochote cha kusema kwa sababu hujui unatetea nini..
 
Kimoja tu sikipendi Kwa Lisu na CHADEMA ni kutafuta alliance na mataifa beberu
Kama alliance hiyo ni kuhujumu nchi, pengine hilo ni baya kweli. Na kama ni ya mrengo huo, nadhani unatakiwa u-justify hii accusation yako...

Lakini kama alliance hii ya CHADEMA na taasisi yoyote ni ya wazi na ya kirafiki tatizo liko wapi maana karibu vyama vyote vikubwa kikiwemo CCM na vingine vina alliance ya kirafiki kwa mashirikiano mbalimbali ya kimataifa..
but then nikijiweka kwenye nafasi yake angefanyaje wakati huku nako tuna wakoloni weusi wamefanya state capture?
Hii ☝🏻☝🏻statement yako itakuwa valid kama utajibu maswali yale ya juu kabisa kule..
Waafrika na watanzania tupo kwenye dilemma isiyomithilika ni Mungu mwenyewe atusaidie!
Dilemma hii chanzo chake ni sisi wenyewe. Hatuungi mkono harakati za watu kama kina Tundu Lissu ili kupigania uhuru wa pili wa taifa hili..

Mna vichwa viwili wili kama joka la mdimu. Hii umeithibitisha hapa. Kwa wakoloni weusi (CCM) upo na kwa wapigania uhuru kama Tundu Lissu na CHADEMA upo..

Umethibitisha mwenyewe kuwa hawahawa kina Lissu na CHADEMA yao kumbe kwa fikra na mtazamo wako wana alliance na mataifa ya kigeni (mabeberu).

Na accusations hizi sijui hata kama una uhakika nazo au umeamini tu kwa kuwa umewasikia CCM wakisema. Na kama ndugu Ame hii ndiyo mindset yako unadhani utachomokaje kutoka kwenye dilemma mode ya kutengenezwa?

Kwanini hufikiri hivi: Kwamba, CHADEMA ni chama halali cha siasa kilichosajiliwa kisheria. Na moja ya masharti kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni chama cha siasa kutokuwa na alliance ya aina yoyote ovu na taasisi au mataifa ya nje yenye lengo la kulihujumu taifa na nchi yetu..

Sasa unadhani wangekuwa na alliance ya namna hii, hawa CHADEMA wangekuwa bado wapo kwenye kitabu cha msajili wa vyama vya siasa??

AKILI KUMKICHWA..
 
Na ukishayaelewa na kulewa hayo maneno ya Lissu, kinachofuata ni vita vya vyenyewe kwa wenyewe. Huko ndio Lissu anakotupeleka.

Sikia nikwambia, idiolojia za Lissu hazina afya kabisa katika nchi yeyote ile ya Afrika. Jirani yako ndio mtu utayefanya naye biashara kwa ustawi wa Afrika na nchi moja moja. Huwezi kujua Ethiopia waliingiaje kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe. Ni kama hizi siasa za Lissu ndio mbolea nzuri sana ya kukupeleka katika nchi ya ahadi ya Lissu.

Baada ya maelezo yake, tuchukulie kesho mmetengana, na yeye ndio Rais, hivi atakwendaje kwa jirani kuomba ujirani mwema?
Nyie wapemba maandazi kweli,yani mtu kudai taifa lake la.asili Tanganyika ndio kuketa vita vya wenyewe kwa wenyewe? nyie ndo mnajiona mna haki sana ya kuisemea nchi yenu zanzibar ila sisi watanganyika tukisema tunakua wahatarisha amani shwaini kabisa!!
 
mko soo petty ninyi watu, Zanzibar ina square meter > 2000 elfu mbili sasa mlitaka watu zaidi ya milioni 50 wakamiliki ardhi Zanzibar? hivi hamna matatizo mengine tangagiza zaidi ya obsession na Zanzibar? kwa mfano hata umeme au maji ya kunywa ambapo mmezungukwa na maziwa lkn hakuna maji?

kama mnataka ardhi kisiwani kwa nini hamuendi Mafia au Mafia siyo kisiwa? Kiko tanganyika 100% au sijui kilwa au hata ziwa viktoria lina visiwa pia? Mmemkosa hoja za kuongea kwenye nchi yenye kila aina ya shida?

too law kwa opposition party kuwa so petty …
Kwahiyo hapa ndo umejibu hoja au sio mwanetu😁😁😁
 
Kama alliance hiyo ni kuhujumu nchi, pengine hilo ni baya kweli. Na kama ni ya mrengo huo, nadhani unatakiwa u-justify hii accusation yako...

Lakini kama alliance hii ya CHADEMA na taasisi yoyote ni ya wazi na ya kirafiki tatizo liko wapi maana karibu vyama vyote vikubwa kikiwemo CCM na vingine vina alliance ya kirafiki kwa mashirikiano mbalimbali ya kimataifa..

Hii ☝🏻☝🏻statement yako itakuwa valid kama utajibu maswali yale ya juu kabisa kule..

Dilemma hii chanzo chake ni sisi wenyewe. Hatuungi mkono harakati za watu kama kina Tundu Lissu ili kupigania uhuru wa pili wa taifa hili..

Mna vichwa viwili wili kama joka la mdimu. Hii umeithibitisha hapa. Kwa wakoloni weusi (CCM) upo na kwa wapigania uhuru kama Tundu Lissu na CHADEMA upo..

Umethibitisha mwenyewe kuwa hawahawa kina Lissu na CHADEMA yao kumbe kwa fikra na mtazamo wako wana alliance na mataifa ya kigeni (mabeberu).

Na accusations hizi sijui hata kama una uhakika nazo au umeamini tu kwa kuwa umewasikia CCM wakisema. Na kama ndugu Ame hii ndiyo mindset yako unadhani utachomokaje kutoka kwenye dilemma mode ya kutengenezwa?

Kwanini hufikiri hivi: Kwamba, CHADEMA ni chama halali cha siasa kilichosajiliwa kisheria. Na moja ya masharti kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni chama cha siasa kutokuwa na alliance ya aina yoyote ovu na taasisi au mataifa ya nje yenye lengo la kulihujumu taifa na nchi yetu..

Sasa unadhani wangekuwa na alliance ya namna hii, hawa CHADEMA wangekuwa bado wapo kwenye kitabu cha msajili wa vyama vya siasa??

AKILI KUMKICHWA..
Huhitaji science rocket kuona kwamba Hawa mabeberu wanatimiza objective zao huku wakitafuta njia nzuri ya kutu divide and rule...Nchi gani ya Africa wameisaidia ambayo unataka Mimi niwekee Imani kwao?

Yes tuna fight for economic freedom...Kama nitakubali conviction ya moyo wangu, basi hii struggle itafanikiwa tu kama sisi kama nchi tutaondoka kwenye u vyama na kuangalia fate yetu kama watanzania na siyo hizi democracy uchwara tulizoletewa na hao ambao ninyi mnaona ndiyo godfather wenu...Hiki ndicho hasa kinachonifanya ni amini zaidi Kwa CCM kwakua katika misingi yake chama Kiko vizuri na ndiyo sababu kina engage Kila mtu wa Tanzania kuanzia wa chini hadi wa juu...Tatizo ni hiki chama kukubali kuingiza agents ambao wanatumia legitimacy yake ku fulfill desire ya hao hao mabeberu...Swali kwangu ni je ni chome Kambi au niungane nao Ili niwamalize hao mamluki nikiwa ndani pamoja na wote wenye mawazo kama yangu?
 
Huhitaji science rocket kuona kwamba Hawa mabeberu wanatimiza objective zao huku wakitafuta njia nzuri ya kutu divide and rule...
If it's not difficult (not needing rocket science) to justify your accusations, what makes you fail to do that?
Nchi gani ya Africa wameisaidia ambayo unataka Mimi niwekee Imani kwao?
I think you're asking this question out of lack of knowledge and understanding (ignorance..)

Kwa sababu hata hili 👇🏻👇🏻👇🏻pengine hujui...!!

Kwamba budget ya Tanzania kila mwaka kwa zaidi 35% huhitaji kujaziliziwa na mabeberu hawa; WB, IMF, ADB, Donor countries eg USA, UK, Belgium, France, Germany etc?

Serikali hii ya Tanzania iko chini ya CCM, au siyo? Kwa maana hiyo automatic hawa mabeberu ni allies wa CCM na serikali yao, au siyo? Au wewe unataka usaidiweje na hawa mabeberu?
Yes tuna fight for economic freedom...Kama nitakubali conviction ya moyo wangu, basi hii struggle itafanikiwa tu kama sisi kama nchi tutaondoka kwenye u vyama na kuangalia fate yetu kama watanzania
Umetoka kwenye accusations za "alliance ya mabeberu na kina Tundu Lissu/CHADEMA" unaleta kitu kingine hapa..

Hata hivyo ndani ya vyama ndimo mlimo na watu. Watu wana mawazo na mawazo hayo ndiyo huongoza nchi. Acha kuangalia vyama. Sikiliza watu...
Hiki ndicho hasa kinachonifanya ni amini zaidi Kwa CCM kwakua katika misingi yake chama Kiko vizuri na ndiyo sababu kina engage Kila mtu wa Tanzania kuanzia wa chini hadi wa juu...
Mmh.
Hutaki "uvyama" lakini unaiamini CCM ambacho ni chama. Hoja zako ziko very vague. Haijulikani unataka nini hasa..

By the way, kwani sisi wengine tukiamini vile yama vingine kama CHADEMA unaona nongwa gani eti? Unakerwa na nini eti?
Tatizo ni hiki chama kukubali kuingiza agents ambao wanatumia legitimacy yake ku fulfill desire ya hao hao mabeberu...
Nimekuambia u - justify, lakini umeshindwa kufanya. Kama unashindwa kujenga hoja zenye ushahidi wa kweli, kuna kosa gani nikisema wewe Ame ni MZUSHI na MWONGO toka Kizimkazi - Unguja?
Swali kwangu ni je ni chome Kambi au niungane nao Ili niwamalize hao mamluki nikiwa ndani pamoja na wote wenye mawazo kama yangu?
Huna hoja yoyote ya kuwezesha kuchoma kambi au kuwamaliza hao.

Wewe ni mpiga kelele fulani tu wa Lumumba au Mnazimmoja - Zanzibar usiye na substance yoyote kichwani mwako..

Kwa kifupi na bila hata kupepesa macho wala kumung'unya maneno wewe ni mpiga propaganda mjinga tu na wa waziwazi kabisa.. there's nothing in your head..

Na kwa hiyo, haiwezekani mtu mjinga na ujinga wake akaingia kwa watu werevu wenye ufahamu na uelewa wa mambo halafu akawashinda. Giza (ujinga) huwa linakuwa overpowered na nuru/mwanga (maarifa - ufahamu, uelewa)

Au hujui kuwa KNOWLEDGE IS POWER & AUTHORITY..?
 
Na ukishayaelewa na kulewa hayo maneno ya Lissu, kinachofuata ni vita vya vyenyewe kwa wenyewe. Huko ndio Lissu anakotupeleka.

Sikia nikwambia, idiolojia za Lissu hazina afya kabisa katika nchi yeyote ile ya Afrika. Jirani yako ndio mtu utayefanya naye biashara kwa ustawi wa Afrika na nchi moja moja. Huwezi kujua Ethiopia waliingiaje kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe. Ni kama hizi siasa za Lissu ndio mbolea nzuri sana ya kukupeleka katika nchi ya ahadi ya Lissu.

Baada ya maelezo yake, tuchukulie kesho mmetengana, na yeye ndio Rais, hivi atakwendaje kwa jirani kuomba ujirani mwema?
Jibu hoja.kupigana kunasababishwa na mambo mengine sio hoja za lissu.Mbona hatuoni tukipigana na kenya?.Mbona congo tumepakana nao na wanapigana wenyewe je sababu ni hizo alizozisema lissu.Hoja za lissu ziko wazi ili kama kuna changamoto zifanyiwe kazi.usifikiri vizazi vyote vitakavyokuja vitaendelea kurubuniwa na hii tabia yakufichaficha mambo kwa propaganda mfu wakakubali.
 
Dah sijui nani kawafunua CDM!

Kama kuna hoja ambayo chama Kuu wanaiogopa na hawataki iongelewe ni Muungano.

Ukianisha kwa makini vipengere vya katiba ya zanzibar vinavyoonyesha namna Baraa inavyonywa katika mambo mtambuka kama mgawano wa mapato ya muungano, composition ya wabunge, uteuzi wa viongozi, ardhi, uraia n.k kuna jambo lisilo tarajiwa linaweza likatokea nchini.

Ili kuonyesha ukubwa wa tatizo na athari zake chama komavu kinapaswa kuainisha takwimu na facts kadhaa ikiwemo idadi za Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Mawaziri, wabunge, Majaji, Makatibu wakuu, RAS, DAS, DED, Wakuu wa Taasisi, na Mabalozi kutoka Zanzibar ambao wapo katika Serikali ya Jamuhuri. pia deni la serikali, mgawanyo wa fedha za mikopo, kugharamia muungano, mauzo ya umeme, mgawanyo makusanyo ya traa n.k. Ukianisha hizi takwimu na kuwaelewesha Wananchi kwa ufasaa, panaweza kuchimbika.

Kuna mwaka Mtikilaa aliitisha mkutano viwanja vya mnazi mmoja, akainisha facts za namna wahindi wanavyoinyonya bongo isivyo stahili. Umati uliokuwepo mnazi mmoja ulipandwa na ghadhabu na kuvamia maduka ya wahindi na kuanzisha ghasia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana akiendelea kuanisha facts za dosari za muungano akijikita kwenye muungano tu, anaweza kusababisha jambo la jambo nchini. Cha msingi asichochee chuki na vurugu. Amani inapaswa kulindwa kwa gharama yoyote, hivyo kama kwa kuwasanua wananchi amani itatoweka basi ni bora tukaendelea kuwa kama tulivyo na tulivyokuwa.

Mungu atupiganie ili bongo nayo itoboe
Ukweli haufichwi,labda uucheleweshe tu.kama kuna usawa na haki shida iko wapi watu wakijua,na kama haiko hivyo kuna shida gani watu wakijadiliana upya?.au wewe unadhani hizi dosari zitajificha hadi lini?.
 
If it's not difficult (not needing rocket science) to justify your accusations, what makes you fail to do that?

I think you're asking this question out of lack of knowledge and understanding (ignorance..)

Kwa sababu hata hili 👇🏻👇🏻👇🏻pengine hujui...!!

Kwamba budget ya Tanzania kila mwaka kwa zaidi 35% huhitaji kujaziliziwa na mabeberu hawa; WB, IMF, ADB, Donor countries eg USA, UK, Belgium, France, Germany etc?

Serikali hii ya Tanzania iko chini ya CCM, au siyo? Kwa maana hiyo automatic hawa mabeberu ni allies wa CCM na serikali yao, au siyo? Au wewe unataka usaidiweje na hawa mabeberu?

Umetoka kwenye accusations za "alliance ya mabeberu na kina Tundu Lissu/CHADEMA" unaleta kitu kingine hapa..

Hata hivyo ndani ya vyama ndimo mlimo na watu. Watu wana mawazo na mawazo hayo ndiyo huongoza nchi. Acha kuangalia vyama. Sikiliza watu...

Mmh.
Hutaki "uvyama" lakini unaiamini CCM ambacho ni chama. Hoja zako ziko very vague. Haijulikani unataka nini hasa..

By the way, kwani sisi wengine tukiamini vile yama vingine kama CHADEMA unaona nongwa gani eti? Unakerwa na nini eti?

Nimekuambia u - justify, lakini umeshindwa kufanya. Kama unashindwa kujenga hoja zenye ushahidi wa kweli, kuna kosa gani nikisema wewe Ame ni MZUSHI na MWONGO toka Kizimkazi - Unguja?

Huna hoja yoyote ya kuwezesha kuchoma kambi au kuwamaliza hao.

Wewe ni mpiga kelele fulani tu wa Lumumba au Mnazimmoja - Zanzibar usiye na substance yoyote kichwani mwako..

Kwa kifupi na bila hata kupepesa macho wala kumung'unya maneno wewe ni mpiga propaganda mjinga tu na wa waziwazi kabisa.. there's nothing in your head..

Na kwa hiyo, haiwezekani mtu mjinga na ujinga wake akaingia kwa watu werevu wenye ufahamu na uelewa wa mambo halafu akawashinda. Giza (ujinga) huwa linakuwa overpowered na nuru/mwanga (maarifa - ufahamu, uelewa)

Au hujui kuwa KNOWLEDGE IS POWER & AUTHORITY..?
This is choir my friend...Hizi nyimbo mlizokaririshwa na mabeberu kama unaita knowledge basi pole...Hakuna kitu kibaya kama kutokujua hujui na Bado ukadhani unajua...All the best I have nothing to buy from your poems, jikomboe kwanza ki fikra Kisha utanishukuru baadaye
 
Ukweli haufichwi,labda uucheleweshe tu.kama kuna usawa na haki shida iko wapi watu wakijua,na kama haiko hivyo kuna shida gani watu wakijadiliana upya?.au wewe unadhani hizi dosari zitajificha hadi lini?.
Mkuu sikupingi na wala sipingi hoja
Sana sana nimewahimiza wakusanye facts zaidi, kwamba hoja hii wakiinadi kwa facts zaidi watakuwa katika competitive advantage kiushawishi dhidi ya chama kuu.
pia nimewahimiza kuwa hii pekee ni turufu ambayo inaweza ikawafikisha kaanani, wakiinadi vema.
Wamechelewa, na wengine tulikuwa tunashangaa kwa nini hawaioni shortcut.
Aidha, malkia kwa kutokujua au kwa kudhamiria amefanya makosa mengi ya kiufundi ambayo kwa CDM ni mtaji tosha unaoweza kuwapeleka kileleni. wakipata facts zaidi zitawasaidia kutoboa
 
Mimi naona tofauti kidogo. Kilichopo sasa ni kutaka kuitawala Zanzibar na inapokuwa ngumu tunaanza kulialia. Inatafutwa gia ya kuenda kwenye serilkali moja, jambo ambalo WAZANZIBARI wengi hawalikubali.
Hapana.
Wakitaka kuitawala Zanzibar ni kazi rahisi kabisa. Ni kumpata mtu kichaa kama Magufuli katika swala hilo. Hutasikia tena fyokofyoko unazosikia sasa hivi. Kwa taarifa yako, ni kikundi kidogo sana kilichoko Zanzibar ambacho hupiga kelele zaidi ya wingi wao, hasa toka Pemba. Hawa wana maslahi na kwingineko, na hawautaki Muungano toka mwanzo. Kukidhibiti hiki kikundi siyo kazi kubwa. Ni kikundi hiki sasa ndicho kimeiingilia CCM Zanzibar, na ndicho huibua mara kwa mara habari za "kero" ambazo ndizo zimelegeza Muungano sasa hivi.

Hayo niliyo yandika hapo yatafakari kidogo, utaona ukweli ndani yake.
 
Back
Top Bottom