Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Umeandika vitu vingi lakini sijaelewa unataka kusema nini
Kwa kifupi tu upate kuelewa ni kwamba mazuri yake yaainishwe, hali kadhalika mabaya yake pia. Ili yapimwe kwa pamoja ili sura yake halusi ipate kubainika.

Hii inatokana na ukweli kuna mjadala wa pande mbili ambazo zinashindana kuandika kuhusu yeye. Upande mmoja una mtazamo hasi na mwingine chanya kuhusu utawala wake, na hata alipokuwa mbunge na waziri.

Mjadala wa aina hii huwexa kuitimishwa kwa hoja kushindanishwa, na ukweli wote kuhusu yeye unapowekwa hadharani.
 
Itachukua milele yote Tanzania haitakuja kamwe kuruhusu sadist kama yule kuongoza Taifa, that was a mistake na tumejifunza. Asante sana Mungu
Wezi mmejifunza sio, you don't even know what you want so sio kosa lako
 
I openly declare kunaupungufu kidogo kwenye usimamizi wa taratibu fulani fulani, mfano tunaona jinsi machinga na vendors wanavyopata tabu kariakoo wamekuwa kama mbwa mwitu kila wakati ni mbio mbio, MAMLAKA HUSIKA ZIPANGE UTARATIBU MFANO, MACHINGA KARIAKOO WAFANYE BIASHARA IWE RUHUSA KUANZA BIASHARA SAA 9 MCHANA MPAKA SAA 1 - 2 USIKU.
KUMEZUKA UHUNI WA MIGAMBO KUTESA KINA MAMA KWA KWELI HII NI DHAMBI KUBWA, BADALA YAKE AKINA MAMA HAWA WAPANGIWE UTARATIBU MZURI WA UFANYAJI BIASHARA ZAO, TAIFA HILI NI LETU, HAWA MIGAMBO NA MATUMBO YAO YA NJAA WAKOMESHWE, WAPO WANAOMCHONGANISHA RAIS NA WANANCHI, WAKOME NA WAACHE MARA MOJA, RAIS AMECHUKIZWA NA HILI, ANAWAPA POLE NA ATALISHUGHULIKIA HARAKA.
 
Machozi ya hawa kina mama na vijana hayata dondoka bure walahi!🥹🥹🥹
Magufuli alikuwa ni mfano kwa wa viongozi wa [emoji1241] Tanzania!
Mwenye Enzi Mungu adhihakiwi!
Zile alama za miguu iliyo kwenda kumzika JPM bado zina onekana na ziko tayari!
 
Machozi ya hawa kina mama na vijana hayata dondoka bure walahi!🥹🥹🥹
Magufuli alikuwa ni mfano kwa wa viongozi wa [emoji1241] Tanzania!
Mwenye Enzi Mungu adhihakiwi!
Zile alama za miguu iliyo kwenda kumzika JPM bado zina onekana na ziko tayari!
Machozi ya waongozwa in most cases husababisha USINGIZI wa viongozi kupaa.

Kulalia vitanda vya thamani na magodoro ya Sufi imara hakuwapi kulala USINGIZI.

KAZI ya kuongoza wananchi Haina tofauti na KAZI ya KUHANI madhabahuni. Ukimess unakutana na Muumba face to face.

Ameen.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisoma comments za wanaoendelea kuomboleza kifo cha yule muovu ni wale wale Sukuma gang. Anyway kama inawapa faraja all the best. Mungu ni mwema sana kwa kutuondolea kadhia ile bila damu kumwagika
Itachukua milele yote Tanzania haitakuja kamwe kuruhusu sadist kama yule kuongoza Taifa, that was a mistake na tumejifunza. Asante sana Mungu
Hii nchi sio ya baba ako.
Kiama chenu kinakuja
 
mkuu, uwe na utu basi angalau hata kidogo tu, shida yako ni Magufuli inafahamika, hao raia nao unachuki nao za nini sasa, hivi unadhani wewe ndo mwenye akili peke yako kuliko makutano wote hao? Sitaki kusema vibaya juu yako, lakini mkuu, nakuhakikishia kwamba; iwapo wewe tu ambaye unaona wananchi wote hao hawana Akili, ufahamu kabisa wewe una ila kichwani
Mapumbavu ni mengi sana nchini na yule marehemu aliyafanya mtaji wake. Akayajaza propaganda za uwongo na ndiyo wanziamini mpaka sasa. Kiingereza inaitwa BRAINWASH. Hakuna kitu hapa yamebaki mazezeta tu
 
Wezi mmejifunza sio, you don't even know what you want so sio kosa lako
Knowing or knowing not doesn't make any difference kuwa mungu wenu kafa. Ushauri wangu kwako ni huu, fanya kazi kwa bidii uache kulia lia humu kila siku, mara sijui sukari imepanda , mara ohoo unga umepanda siwezi kununua, mara leo nimelala njaa , mara ohoo watu wanalamba asali peke yao. Grow up dude acha kujiliza
 
Huyo aliyevaa hijabu anamwambia mama najua umefunga kama mm, anamwambia atende HAKI, ni kundi Gani?
Wamchongo huyo, au umezaliwa leo, watu walimsimamisha yule mpenda sifa na walimpa jogoo wakidai wanampenda sana kumbe ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom