Aliwekeza sana kwenye zip huyuMimi sio CCM ila hapa unawaonea, mtu alipewa unaibu waziri, ubalozi....kwa sababu ya tabia zake amefika hapo alipo leo, CCM inahusikaje? maisha ni kupanga, kuna watu hawajahi kupata na hawatakaa wape exposure aliyopata jamaa lkn wamekuwa na nidhamu na kile kidogo wanachopata na maisha yanaendelea...tuwe na nidhamu ya hela!!
Naomba video ya hao Police inbox tafadhariAnaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.
Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Anashindwaje kumaliza matatizo yake na huyo mwanamke. Maana ni muda mrefu anashida naye. Hadi mwaka jana alikuwa Balozi Commoro kama sikoseiHuyu jamaa visangaa vyake ni wanawake tu π
Ova
Amtag mvaa tai ya bendelaMtag Waziri mmoja au kiongozi yeyote umkumbushe kuwa "Memento Homos"
Hawana misuli ya kupambana kifiziki kwa hiyo kelele ndio zina wabeba.Wanawake wanapenda sana kupiga kelele, jambo dogo lazima wasindikize video na kelele juu.
π πHuyu jamaa visangaa vyake ni wanawake tu π
Ova
Hahaha π€£Amtag mvaa tai ya bendela
CCM hao, Ndio Polisi wakumbuke HiloAibu sana hii kwa mtu aliyewahi kuwa hadi balozi
Alikuwaga na kesi na mke wake mmoja aise alikuwa na bonge la msambwanda mtoto mixer fulaniπ π
Naona dokta nmekuacha hoiii kwa kusema jamaa visanga vyKe ni madem tu ππ π
Hii Hapa Ndugu yanguNaomba video ya hao Police inbox tafadhari
Nawajua sana hao watu wa visiwaniNaona dokta nmekuacha hoiii kwa kusema jamaa visanga vyKe ni madem tu π
Ova
Ifikie wakati amalize tofauti zake na wanawake, watamtesa sanaHuyu jamaa visangaa vyake ni wanawake tu π
Ova
π sanaIfikie wakati amalize tofauti zake na wanawake, watamtesa sana