Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

Pole sana. Umeweka angalizo kwamba wewe ni mtu wa Kigoma. Wengine tunajiuliza iweje ukaukosa huko kwenu wakati tunasikiaga kwamba huko ni mwisho wa reli?
 
takataka
 
Wangapi wenu washaona cctv camera inayotoa sauti yani inarecord audio na video????

Halafu huyu mchawi mbona kavaa nguo nyeupe wakati tunajua fika anatakiwa awe uchi au ajifunike na matambala meusi na mekundu!!!
Hapa Kuna point
 
CCTV Camera inauwezo wa kunasa/kupata picha ya Mchawi, hata Majini, Mizimu n.k.......

Nenda YouTube
 
Unakwenda Pemba kupata uchawi wakati uchawi wa Kigoma ndio mkali zaidi. Ongea na wazee, ila unaelekea njia ya kifo na maangamizi! Ukitaka "uchawi" wa uhakika lakini uchawi wa kutenda mema ongea na Bwana Yesu.
 
Afu jamaa anavyopotea km ghost vile..
Mi ningepata huo uwezo ningekuw tajiri.
Siku naham y kuwanga naenda kumuwangia bakresa au dangote
Wale huwez kuwawangia sababu wako vizuri, huwezi ku secure pesa nyingi namna ile kama huna ulinzi flani aidha wa kimungu au wa giza!
 
Watanganyika amken hilo n tangazo la kununua CCTV cameras n advertisement Hiyo
 
Bora hao Wachawi wa Asia wanaovaa Kanzu, kuliko hawa wakwetu wanaowanga uchi wa mnyama.
 
Mchawi hana akili thus ufanya mambo ya kipumbavu yasiyo na faida hata kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…