Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

Mediocre
 
Acha unyau eboo
Kwani umelazimishwa Kuja Humu,wewe mambo Gani ya maana umewahi leta Humu ya kujenga zaidi ya mapambio ya ki MAGAMBA
Anyway hiyo ni kutoka kijiwe Cha kahawa na Alkasus
Ikiuma chomoa!
😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
Ulichokifanya hapa ni kuthibitisha tu nilichokisema; uduruthi mtupu!!
 
Ulichokifanya hapa ni kuthibitisha tu nilichokisema; uduruthi mtupu!!
Wewe Ndio wale Aina ya Wazee wanaojionaga ni maginious Sana Huku mmezeeka na viinua mgongo vya kukitumikia Chama Cha Mboga mboga
Chenye head office pale Lumumba
Kafie Kolomije!
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Nashukuru kijana wangu
Huu uzee unanifanya nipitwe na vingi
Mwaka huu mwez wa tano nafikisha 64 kamili
 
Alikula Sana pesa za GSM kwa mgongo wa madaraka ya magufuli,gsm hakuwa na option ilibidi awe lofa kwa huyo maskini mtakaka pesa kupitia mamlaka kwa mgongo wa magu
 
Nashukuru kijana wangu
Huu uzee unanifanya nipitwe na vingi
Mwaka huu mwez wa tano nafikisha 64 kamili
daaa aisee Babu umekula chumvi kimtindo Mimi Kwako ni mjuu kabisa,
Ila kumhusu Huyo rikiboy tuachana nae maana ukienda kusoma mbinu anazotumia yeye na watu wake kupata malighafi ya kiwanda chake Cha uchakataji Papuchi na Mbususu utaweza uingiwe na tamaa na wewe ukafanya practical Mwishowe ukafa unapambania kombe na vijana,
Tulia ulee wajukuu nakutakia uzee mwema wenye Baraka Ndani yake,
Asante!
 
Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Asa huna ela, huna wadhifa nan akuheshimu? Labda mke na watoto wako
 
mla kitimoto kishaondoka sasa wanarudi
 
Mnyororo ni hatari sana mkuu
Uhatari wake bado sikuuona nilipopotelea. Pengine nilikuwa eneo lisilohusika!

Kidogo niliingiwa na hofu kwamba juhudi zenu zinafifia..., lakini inawezekana sikuangalia vizuri. Nipo tayari kushuhudia na kupokea "uhatari" unaousema hapa, kama kutazama kwangu hakukuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…