Sawa kabisa...Siku wahi mjua vizui , ila nilisikai ni Bro wa kina Edwin and Isac Kasanga ( sijui kama kweli ) na Kassanga waliishi hapo Drive Inn kabla ya kuhamia Mikocheni so na hisi ndio kwlei alikulia hapo
Aisee nime changanya kuna Derek pia? au ndio namaanisha Edwin au hakuna Edwin , nadhani labda nime chnganya majina.Sawa kabisa...
Mie ni rika la Derek Kassanga. Nilisoma naye darasa moja Obay
Derek ni kaka ya marehemu dada yao, anakuja Edwin, Isaac na mwisho dada mdogo.Aisee nime changanya kuna Derek pia? au ndio namaanisha Edwin au hakuna Edwin , nadhani labda nime chnganya majina.
dah basi dereek nilimsahau ingawa nakumbuka jina ,Derek ni kaka ya marehemu dada yao, anakuja Edwin, Isaac na mwisho dada mdogo.
Kaka Pascal ni cousin
Kiranga Yuko vzr sana kwenye kuandika kiswahiliKiongozi japo umekaa kwa walami muda mrefu unaandika kiswahili kimenyooka sana, tunajifunza.
Uzuri umejijuaHiyo ndio ukweli , nimegeuka kuwa that Mnoko dingi. lol
Etiene hotel ------ kwanini vijana wa oysterbay wakafie Upanga?, mbona oysterbay kulikuwa na hotel nyingi tuuuuuHotel inaitwa Entience
Ilikuwa hivi , miaka ya ealry 80s wazazi wa Obaya wazazi walikua very strict , kulikua hakuwezi ruhusu siwa party zozote za vijana kufanyika unsupervised na wazazi , kama ni party lazima wazazi wa husike na hata kwenda Club aka Disco ilikua inachukuliwa kama uhuni mkubwa na walio kuwa wanakwenda kipindi hicho lazima watoroke kwao usiku bila wazazi kujua .Etiene hotel ------ kwanini vijana wa oysterbay wakafie Upanga?, mbona oysterbay kulikuwa na hotel nyingi tuuuuu
Nashukuru kwa hilo , lolUzuri umejijua
Ngoja tuingie St Peters hapaNashukuru kwa hilo , lol
Herieth(rip).Derek ni kaka ya marehemu dada yao, anakuja Edwin, Isaac na mwisho dada mdogo.
Kaka Pascal ni cousin
She was lovely 🌹❤️Herieth(rip).
After long deliberation with my memorynilikuwa na flow patois live over dancehall beats.
Wewe codes zote unazo.After long deliberation with my memory
Nimeaanza kukumbuka lile gitaa la maskani, halafu kuna msomi mmoja, very neat, alikuwa ana flow sana patois kwa tunes za Emma [emoji1787][emoji1787]
I hope I am close enough.....
Dah!Wewe codes zote unazo.
Nimerudi maskani nimekuta wamejenga ukuta.
Dah, watu wamehama sana.Dah!
Last time nilipita 2006, bado ilikuwepo, lakini washkaji wengi walikuwa wameshama Upanga,
Na ile backyard yule mdosi alikuwa anaimaindi ajenge viflat, mara wakakuta lile debe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] halafu polisi wakazidi mtaani.
Dah ! zamani sana,
Sijui kama kina BB na Bro, wazee wa Mahenge kama bado wapo pale, Na kina Tesha
Na ule upande mwingine wa kina Abby Spartan, Amosi, Buli, na Tambaza's, sijui kama kile kijji bado kipo?
Vipi Bay viller na kawe club na TAZARA club??????Ilikuwa hivi , miaka ya ealry 80s wazazi wa Obaya wazazi walikua very strict , kulikua hakuwezi ruhusu siwa party zozote za vijana kufanyika unsupervised na wazazi , kama ni party lazima wazazi wa husike na hata kwenda Club aka Disco ilikua inachukuliwa kama uhuni mkubwa na walio kuwa wanakwenda kipindi hicho lazima watoroke kwao usiku bila wazazi kujua .
Sasa kilicho fanyika in Upandga nadhani wazazi wa huko hawakua strict ,hivyo kukawa kuna fanyika party za vijana , yani party ambazo hakuna mziazi yoyote anaye kuwepo ni vijana wana andaa wenyewe na zina fanyika kwnye summit za maghorofa ya upanga ,Inawezekana wazazi walikua hawaju nani anafanya hizo party huko juu .
Kipindi hicho kulikua na bifu kati ya vijana wa Obay na Vijana wa Oysterbay/Masaki , mademuw a Upanga walikuwa waki wakubali vijana wa Obay/Masaki , kupelekea vijana wa huko na bifu kubwa, hatujui nini kilitokea mpaka Macatta aka uwawa, ila inasemekana alirushwa Ghorofani , wengine wana sema hakurushwa ila wali mshika miguu wakaanza mburuza toka juu ya ghorofa kwenye ngazi huku akijigonga kisogo kwnye ngazi na kumuacha hapo chini bila wao kujua kwamba wame mpa majereha makubwa kwenye brain. so mpaka sasa hatujui case ilikuaje .
Ninakumbuka jinaBay Villa , ila sikumbuki ilikua wapi , ni Msasani Peninsular ama wapi? Kawe Club nadhani labdailikau kipindi cha zile Beach Picnicks, ila nakumbuka nyingi zilikua Msasani Beach club , Tazara Club , pia nakumbuka jina , hivi ilikua ni Chang'ombe ama wapi ?Vipi Bay viller na kawe club na TAZARA club??????
Hivi unajua una miza sana watu roho walio nje kuona hizi mambo? hahahahahahaNgoja tuingie St Peters hapa
Tukapate mtori kwa mzee marealle
[emoji1]
Ova
View attachment 2680878View attachment 2680879