Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
- #101
Mchawi tuu wewe,unamaumivu yako , kila mada una shadadia, umeona kabisa nime andika oysterbay, sehemu hata hujui iko wapi , unaingia kusoma , mtu wa jabu sana wewe, sasa una soma mada ngapi kwa siku hata zisizo kuhusu nahuo mud unakuwanao wakutosha ? Mimi nikiona habari ina zungumzia Mita ya Mbagala itakuwa ya mwisho kuisoma kamanina muda sababu nitaanzakwanzana zinazo ni husu, sasa wewe oysterby inakuhusu nini, kwanzaunajua oysterby ni wapi?Hv habari za vifo vya watu halafu unasema naumia upo sawa kweli,
Zingatia huo ushauri wa kufungua group lenu la wasap la watoto wakishua wa obey, humu hutapata ushirikiano dogo.
Wewe wakuja ,angalia madaina viewerszaidi ya 5k ,kmahaigusi watu why wamesoma mpaka sasa watu wote hao?