Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Hv habari za vifo vya watu halafu unasema naumia upo sawa kweli,

Zingatia huo ushauri wa kufungua group lenu la wasap la watoto wakishua wa obey, humu hutapata ushirikiano dogo.
Mchawi tuu wewe,unamaumivu yako , kila mada una shadadia, umeona kabisa nime andika oysterbay, sehemu hata hujui iko wapi , unaingia kusoma , mtu wa jabu sana wewe, sasa una soma mada ngapi kwa siku hata zisizo kuhusu nahuo mud unakuwanao wakutosha ? Mimi nikiona habari ina zungumzia Mita ya Mbagala itakuwa ya mwisho kuisoma kamanina muda sababu nitaanzakwanzana zinazo ni husu, sasa wewe oysterby inakuhusu nini, kwanzaunajua oysterby ni wapi?
Wewe wakuja ,angalia madaina viewerszaidi ya 5k ,kmahaigusi watu why wamesoma mpaka sasa watu wote hao?
 
Watu wa ushuani kukumbukwa ni muhimu zaidi kuliko hao unaosema bro. Ni kama tunavyowakumbuka wale 5 waliokufa na submersible Canada na kutojali wahamiaji 100+ waliokufa Greece (wengine kati yao wametokea ushuani huko kwao Pakistan, nk).
Ndio dunia...
Ilikuwa ni community , tumeishi vizuri na kupendana, hakuna uchawi, wala majungu ni kualikana kwenye party , hakuna kuchunguzana wala kuoneana wivu ni kuishi kwa raha na amani , ndio maana tunakumbuka familia zilikua zinaishi kwa umoja na amani , ndio sababu nakumbuka hao.
 
Robert kama ni yule wa pale bongoyo sio kifo cha ajabu alikuwa handsome sana yule dogo sasa mke wa bosi nadhani alimtokea wakaanza mahusiano. Kifo chake za mwizi arubain. Alirishwa sawa ila baada ya kutobolewa sana na visu
Ok, inamaan hakurushwa ila alichomwa visu? story yake ilikua sija ifahau vizuri ila nilisikia kuhsu wivu wa mapenzi
 
Ok, Sijui namaaisha "Mdachi" kama a Surname au unamaanisha "Dutch" kama Meuropean , sababu kulikua na kijana mmoja aliitwa Andrew Mdachi alifariki kwa kunywa sumu miaka hiyo sijui una msema huyo ?
Ila kama una manisha Dutch au European , ukimaanisha wale Mixed ,ndio Robert Cathless baba yake na mama yake ni halfcast wa kijerumani , hivyo Robert alikuwa na rangi alikuwa ana shobokewa sana na mademu ila aliye Uwawa kwnye Party ni anaitwa makatta , naye alikuwa hdsomeboy alishobokewa sana na mademu ,Robert aliuwawa mchana meneo nasikia ya hapo karibu na Kwnye Hizyo Towers za hapo sijui ni Uhuru Height mjini ilikua mchana nina dhani una maanisha hivyo aau?
Huyo Robert alikuwa ukoo wa yule brig gen Richard George cathles
Nahisi walikuwa na uchotara na kifaransa

Ova
 
Ilikuwa ni community , tumeishi vizuri na kupendana, hakuna uchawi, wala majungu ni kualikana kwenye party , hakuna kuchunguzana wala kuoneana wivu ni kuishi kwa raha na amani , ndio maana tunakumbuka familia zilikua zinaishi kwa umoja na amani , ndio sababu nakumbuka hao.
Hahah obay masaki now days maisha hayo hakuna kabisa

Ova
 
Ilikuwa ni community , tumeishi vizuri na kupendana, hakuna uchawi, wala majungu ni kualikana kwenye party , hakuna kuchunguzana wala kuoneana wivu ni kuishi kwa raha na amani , ndio maana tunakumbuka familia zilikua zinaishi kwa umoja na amani , ndio sababu nakumbuka hao.
Dah,

Nimesahau parties za Mwalimu na Jaji Mihayo huku Winding Ave kwa kina Devotha na Solo.

It was so nice. Life was so easy. No pressure.
 
Siku hizi ni kama Sinza bar kila kona lol
Si umeuona haile selasie Road

Ova
20230630_102318.jpg
 
Back
Top Bottom