Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi nimemtafuta MD wao twitter saivi nimepata line yangu bila kununua router napiga mzigo vizuri tu
Hiyo Router ya Airtel ni movable??
 
Hahaha leo naona mmekasirika vijana baada ya kakitonga ketu kuyeyukaaa ila niliwaambia...ukipata kitu kula kimya kimya au uza kwa gharama kubwa ili mtu apate maumivu na yeye akivujisha
 
Hahaha leo naona mmekasirika vijana baada ya kakitonga ketu kuyeyukaaa ila niliwaambia...ukipata kitu kula kimya kimya au uza kwa gharama kubwa ili mtu apate maumivu na yeye akivujisha
Hili ndio tatizo letu wabongo ubinafsi mwingi ndio maana tupo palepale
 
Nme unganishwa kwenye kifurushi cha halotel alie niunga kupotea hewani..kikiishq menu ya kubuy tena ni hipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…