Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi nimemtafuta MD wao twitter saivi nimepata line yangu bila kununua router napiga mzigo vizuri tu
Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]View attachment 2838418
Hiyo Router ya Airtel ni movable??
 
Hahaha leo naona mmekasirika vijana baada ya kakitonga ketu kuyeyukaaa ila niliwaambia...ukipata kitu kula kimya kimya au uza kwa gharama kubwa ili mtu apate maumivu na yeye akivujisha
 
Hahaha leo naona mmekasirika vijana baada ya kakitonga ketu kuyeyukaaa ila niliwaambia...ukipata kitu kula kimya kimya au uza kwa gharama kubwa ili mtu apate maumivu na yeye akivujisha
Hili ndio tatizo letu wabongo ubinafsi mwingi ndio maana tupo palepale
 
Nme unganishwa kwenye kifurushi cha halotel alie niunga kupotea hewani..kikiishq menu ya kubuy tena ni hipi
 
Back
Top Bottom