Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Airtel ni reliable mkuu kwa hio 70k ? Niliona wana router zina power bank
Vodacom wako vizuri lkn kiukweli kuna muda wanazingua sana poor response
 
Airtel ni reliable mkuu kwa hio 70k ? Niliona wana router zina power bank
Vodacom wako vizuri lkn kiukweli kuna muda wanazingua sana poor response
70K ni 10mbps kwa feedback za wadau humu kama upo eneo lina 4G pekee inaweza ikazingua nayo, sijaona malalamiko kwa walio maeneo yenye 5G.
 
GB 24.6 sio 246,

Hichi kifurushi cha unlimited 50,000 bado hata mimi sijakielewa vizuri, pengine ni mpaka connection, maana hata ukienda ofisi zao hawakijui.
Iko hivi..

Hicho kifurushi kinauzwa kwa siri kwasababu kwa mujibu wa sera za TCRA zimepiga marufuku makampuni kuuza unlimited kwa bei hiyo.

Ndio maana hutaona kwenye pages zao wakifanya promo kuhusu hicho kifurushi.

Lakini sababu ya wao kuweka 24,6GB ilikuwa ni kuwatoa maboya hao TCRA ili wasije kusanuka kuwa kuna fraud inafanyika.

Ndio maana ukiangalia hapo juu kuna kifurushi kipo cha 50K kinatoa GB66 swali la kujiuliza kivipi hiki kingine cha 50K kiwe na 24GB, nani ambaye anaweza kuacha GB66 akanunua 24GB.

Ni huduma nzuri ila due to my personal experience hii service haina consistency, haikupi speed bora inayodumu muda mrefu.

Na leo naweza kusema at least sio kama jana, lakini kuna moment hata kufungua picha inakuwa mtihani.
 
Ngoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..
 
Na lazima line iwe m2M ama hata line za kawaida itakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…